Kwa hali inavoendelea pale ngome kongwe (old trafod) ni dhahiri wa shahiri timu yao inaenda uefa ndogo ambayo mechi zake huchezwa Alhamis mida ya sa4 kasoro usiku muda ambao Futuhi wanakua hewani...
Habari nilizopata kupitia vyanzo mbali mbali vya habari ni kwamba mshabaki wa soccer wa club tajwa hapo juu ameuawa hapo juzi wakati timu hizo mbili zilipokutana juzi jumamosi Liverpool Vs Arsenal...
Niaje wana jf..
mm ni mteja mzuri sana wa mhindi kwenye mambo ya bettin, ila since last week naona mambo hayaendi kabisaa yaaani,, nachana mikeka tuuu... hebu leo tusaidiane kidogo, wataalamu...
Siku ya Man city na Chelsea nilisema ntatembea uchi, kweli Chelsea walishinda ila nilivyotaka timiza maneno yangu, watu walinitisha eti kuna washkaji wako Manzese wana-wait wanile Kabang...
Mwenyekiti wangu Yusuf Manji. Salaam aleikhum!
Awali ya yote naomba niupongeze uongozi wa Yanga chini ya stewardship yako imara kwa mafanikio mliyoyapata on and off the pitch tangia...
Ligi kuu ya nchini italia almaarufu Serie A inaendelea leo na Vilab vya SSC NAPOL na AC MILAN vinakutana leo kwenye dimba la san paulo mjini nepol. Kocha wa milan Clarence Seedorf anakwenda...
Mashabiki wa Man U hatuna haja ya kuhofia mechi yetu ya leo, kuku wako kwa nini kumfukuza, ataingia bandani nawe kumchukua na kumchinja, supu saaafiiii, leo twendeni kifua mbele na tena kwa...
WACHEZAJI wa Simba SC wameahidi kwenda kupigana kufa na kupona kwa ajili ya ushindi dhidi ya Mbeya City Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini...
Siku zote nimekuwa nikiwahusisha kwenye mikeka yangu mmeniangusha sana tena sana ila nikavuta subira nimeamua kuanzia kesho sitokuja kuwahusisha tena kwenye mikeka yangu mnampa faida kanjibah na...
Wachezaji wetu wanajituma na kujitahidi sana toka enzi nonda, lunya,machepe, machupa, kali ongala ,kaniki, nsajigwa n.k. lakini wameshindwa kupenya kwenye level ya kimataifa xana xana wameishia...
Umewahi kukaa na kusikiliza ujumbe wa wimbo huu? Basi sikiliza huenda uzalendo ukaongezeka kwako.
Binafsi naupenda sana kuanzia uimbaji hadi ujumbe. m.mp3juices.com/search.php?q=juliani+utawala
LIVERPOOL FAN KILLED OVER GAME
PHOTO | AFP Liverpool's English midfielder Raheem Sterling (right) celebrates with teammates after scoring their third goal during the English Premier League...
Mwanamume raia wa Kenya anayeshabikia klabu ya soka ya Uingereza ya Liverpool amedungwa kisu na mwenzake wa klabu ya Arsenal na kufariki dunia katika eneo la Meru Mashariki mwa Kenya.
Kwa mujibu...
Wanajamvi Chelsea tabia yao kama mnavyo Ijua, kocha akiyumba kidogo tu out.
Sasa huyu mwenzetu wa Manchester United angekuwa pale Stamford bridge unadhani angebaki mpaka leo hii?
.
By MURIMI MWANGI An ardent Liverpool fan from Meru was last Sunday stabbed to death by an Arsenal fan, after the gunners suffered an embarrassing 5-1 defeat at the hands of their Liverpool...
Wakati wapinzan wa yanga national al ahly waki2ma wawakilishi kuja kutazama mech kati ya yanga na hao wa comoro,klabu ya yanga imethibisha kua haiwezi kutuma watu wake wa ufundi kwenda kuwatazama...
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza Manchester City bado wananafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu pamoja na kikosi chake kukalia usukani kwa mara ya kwanza tangu Septemba.
Chelsea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.