Rogers Mtagwa anarudi Madison Square Garden! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rogers Mtagwa anarudi Madison Square Garden!

Discussion in 'Sports' started by Keynez, Dec 10, 2009.

 1. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  Rogers Mtagwa anarudi Madison Square Garden January 23, 2010, kupigania mkanda wa dunia (WBA Featherweight) akipambana na Mcuba, Yuriorkis Gamboa.

  Press Conference hii hapa, ameongea hata Kiswahili, kuanzia 6:33 akiomba watu mumuombee. nadhani ana nafasi, ingawa huyo Mcuba ni mkali. Haya sala jamani zianze!

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=Z-HFiZpuViA[/ame]
   
 2. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha! Kanikumbusha uswazi na jinsi anavyoongea! Umepata maombi yangu ndugu yangu Rogers.
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kila la heri Rogers, pamoja....
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,683
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Umezipata Rogars, ile gemu niliiona ni kweli walikuibia mwanangu hata huyu Gamboa unayepigana nae alikusifia siku ile!
  Pamojah!
   
 5. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi zamani kulikuwa na mcheza soka mmoja anaitwa Jela Mtagwa? Akichezea moja ya timu kubwa za hapo Tanzania, sikumbuki vizuri anayefahamu tafadhali anikumbushe. Kama alikuwepo je anahusiana na huyu Rogers?
   
 6. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  Jela Mtagwa alikuwa Yanga/Pan Africa. Na mimi nina swali, kumbukumbu zangu siyo nzuri, hivi Roger ameshawahi kushiriki Olympics siku za nyuma? Hawa Gamboa na Lopez (mpinzani wake aliyepita) wameshashiriki Olympics. Anaingia kwenye pambano hili akiwa tena underdog, wacuba huwa wana mabondia wazuri sana.
   
 7. Stanley Mitchell

  Stanley Mitchell JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2014
  Joined: Jan 2, 2014
  Messages: 2,401
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  Gamboa ana Gold medal ya Olympics.
   
Loading...