waeleze wakuelewe.kitu man uPole yao,sie Man united tunatwanga bayern ngoma isambe nusu fainali hatimaye fainali tunachukua mwali...
kama wewe ni shabiki wa CHELSEA pokea like yangu ya nguvu au mlifikiri wale ni arsenal au galatasaray?....wale wanaitwa IBRA CADABRA WAZEE WA KUPIGA BUTI....,.Poleni chelsea
waeleze wakuelewe.kitu man u
Daah, Chelsea walinyanyaswa sana kijinsia, sorry kimpira, PSG hawana huruma hata kidogo, waliingiza jeshi wakati ilikuwa ni civil match... ningekuwa mzee mzima jozeee the one ningekata rufaa na kwenye hati ya rufani niclaim kwamba magoli yote walifunga kwa mateke kwi kwi kwiiii....ila jamaa wanapiga haooooooo!
humu JF Chelsea ikifungwa wanafuraahi au kwa kuwa kiboko yenu?