M mweusitii Member Joined Apr 14, 2013 Posts 26 Reaction score 5 Mar 30, 2014 #1 Kwa mwenye matokeo ya pambano lao atujuze wanajamvi
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,106 Reaction score 2,214 Mar 30, 2014 #2 kaseba amepigwa kwa points hivyo amepoteza lile gari aliloahidiwa na bibie dotnata. mashali sasa atakutana na mtu mzima kalama nyilawila
kaseba amepigwa kwa points hivyo amepoteza lile gari aliloahidiwa na bibie dotnata. mashali sasa atakutana na mtu mzima kalama nyilawila
K kovai tamil taiga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 1,571 Reaction score 2,192 Mar 30, 2014 #3 Mbona anaadhirika! Bora angejirudia kwenye kick box.! Kakosa washauri!