Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hapa mbeya hali ya hewa ni nzuri ikiambata na kiubaridi. Kiukweli mechi hii haina msisimko tofauti na ile ya mbeya city na yanga,. Mji bado umepoa na simba wakiwa bado wamejificha...
2 Reactions
587 Replies
45K Views
The Liverpool striker warmed the hearts of even the most bitter football fans with this act of kindness He's a nice lad, is that Daniel Sturridge. We like his dancing when he finds the back of the...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
As ever, our flag always features internationally on major sports. Kenya, Tunisia and Senegal won their opening matches as the 2014 FIVB Women’s World Championships Africa qualifiers in group 2...
2 Reactions
0 Replies
946 Views
Sunday, February 16, 2014 Mrisho Khalfan Ngassa jana alifunga tena mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-2 wa Yanga dhidi ya wenyeji Komorozine ya Comoro katika mchezo wa marudiano...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau sipo kiushabiki zaidi ila mtizamo wangu kuhusu bingwa wa EPL. Nimezichunguza timu 4 za juu katika epl na binafsi naona kombe litaenda Chelsea au Liverpool. Manchester City nimewatoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF. Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiliza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha...
2 Reactions
53 Replies
13K Views
shirikisho la soka la Dunia limekanusha kumuinizisha Emanueli Okwi kuchezea yanga kutokana na kukiukwa kwa baadhi ya vipengele kwani haruhusiwi kichezea timu tatu ndani ya msimu mmoja. Ila mwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tarehe 15 mwezi huu kutakua na mechi kati ya Man City na Chelsea ya FA cup katika uwanja wa Etihad. Huku chelsea ikiwa imeifunga Man City mara mbili Darajani na Etihad, swali ni kwamba chelsea...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Lionel Messi is now the all time goals scorer in the history of La Liga
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Wakuu hii mechi mbona hamuifuatilii? mwenye matokeo tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu leo ni leo, ile burudani iliokua inasubiriwa kwa hamu imewadia tena! Man city ataendeleza uteja kwa chelsea?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
TIME: 8:15 PM LIVE LINKS
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Italian club Lazio have released official documents to prove that 17-year-old midfielder Joseph Minala is not actually 41. Minala caused a stir this week because of his appearance after being one...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari ya mjini ni Okwi ruksa kukipiga Yanga,sasa hayo tuyaache maana tayari Okwi ni mali ya Yanga.Sasa twendeni Mbeya tukampe support mzee mwenzetu Simba aka 'nyau'. Maana kama Simba akipigwa na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza rasmi mikakati ya kuiwezesha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars' kufuzu kwa Fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani baada ya kupanga...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Hili ni swali jepesi lakini kwa upande wa pili ni gumu sana.kipindi kabla ya henry hajaondoka arsenal wakiwepo wakina jeans lehman,babtista,clichy,fabregas wakat mdogo mdogo,song pale ilikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Chanzo- BBC Swahili michezo na wachezaji. Moja wa maboss wa TFF amesikika ktk kipidi cha BBC Swahili michezo na wachezaji. akisema kuwa "TFF haina PESA ya kusafirisha kontena mbili za viatu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya Yanga kuinyanyasa Comorozine de Domoni ya Comoro kwa magoli ya 'week' nzima; leo ni zamu ya Azam kukutana na Ferroviario ya Msumbiji katika uwanja wa Azam Complex. Wakati huo huo baada ya...
0 Reactions
252 Replies
19K Views
Kama kawaida , tupeane taarifa za matokeo ya mechi zote za leo , leo mbeya sokoine mtibwa sugar atakuwa akipelekwa puta na Mbeya city , wapenzi wa Mbeya city twendeni tuipe sapoti timu yetu ...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Arsenal in top of table is like an elephant in a top of a tree Nobody knows how he get there but everyone knows that he'll fall..hahahahaha
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Back
Top Bottom