Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Baada ya vilaza wa Arsenal na makuli wa Man City kutolewa kwenye UEFA champions league,wakombozi pekee waliobakia ni Manchester United ambao ndio wataingia hatua ya robo fainali kuwakilisha Uingereza.
Chelsea nawapa 50-50 ila moyo wote kwa mashetani wekundu,deficit ya magoli mawili itakuwa ndio chachu ya kuwapiga goli 4 kwa moja pale OT na kuwasukumiza nje ya mashindano mabaharia wa ugiriki Olympiacos.
Anayebisha na ajitokeze hadharani