Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,603
- 22,714
Leo jumanne, Manchester united itakuwa nchini Greece kupambana na vinara wa nchi hiyo Olympiakos Piraeus ambao hawajapoteza mchezo hata mmoja kwenye ligi yao ya kichovu.
Ikumbukwe manchester united ni moja kati ya timu ambazo hazijapoteza mechi kwenye ligi ya mabingwa kwahiyo tuna uhakika wa kuendeleza rekodi yetu mpaka mwisho wa mashindano.
Glory Glory Glory Manchester United
Deadly Duo