Wadau nisaidieni

Wadau nisaidieni

Glisten

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
301
Reaction score
22
Nimebet M-bet... Jana inakuwa hadi leo cjapata wakati ubashiri wangu nimepatia ila cjapata kitu...nisaidien hii inakuwaje.!
 
Kwa hiyo sisi tukusaidie nini,kwani wakati unaBet ulitushirikisha?na ungepewa hiyo hela ungetuuliza kuhusu kupanga matumizi ya hiyo hela?peleka fb huku sio mahala pake.
 
haya baba
 
Nimebet M-bet... Jana inakuwa hadi leo cjapata wakati ubashiri wangu nimepatia ila cjapata kitu...nisaidien hii inakuwaje.!

Ndugu mvulilie tu, mhindi ndivyo alivyo,. au tuambie ulibet mechi gani maana unaweza kukuta ulikosa wewe unafikiri ulishinda.
 
Back
Top Bottom