FA: ARSENAL VS WIGAN je arsnal atapita

FA: ARSENAL VS WIGAN je arsnal atapita

Capogi jr.

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
49
Reaction score
7
Wadau poleni na majukumu mi kwa leo nilitaka kujua 2 kwa upand wako wewe unaonaje mechi ya arsenal na wigan kesho. Je arsenal katika kiwango kibovu alicho onyesha msimu hu wa pili huku akiwa na majeruhi wengi ataweza kumtoa wigan au kufungwa na je wigan ataweza kumfunga arsenal kama alivyofanya kwa man city au nae ndo ataangukia pua tu. Toa koment zako ila kua mstaarabu matusi hayahusiki hapa!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom