Lionel Messi leo atafunika tena..........

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Ukitaka kujua ujuzi,umuhimu na uimara wa Lionel Messi aka Andunje,basi subiri FC Barcelona iwe kwenye wakati kama wa leo.Wakati ambao wanatakiwa kushinda tu na si vinginevyo. Katika mechi ngumu kama ya leo ya Klabu Bingwa Barani Ulaya dhidi y Atletico Madrid,Messi hufanya jambo jema na la kufurahisha kwa timu yake. Leo atafanya tena leo hii.

Messi atayapindua matokeo ya Camp Nou ya 1-1 na kuipeleka mbele FC Barcelona. Kama hatafunga,atasaidia kufungwa kwa goli au magoli. Messi anasubiriwa leo kuudhihirishia ulimwengu ubora wake usio kifani.

Ni Messi leo...........
 
mkuu alikuwepo pia kwenye mechi iliyopita!anaweza kuwepo pia na matokeo yakawa yale yale!
 
Uwezo wa kocha Martino ni mdogo, ni ngumu kupita kwa barca na hata wakipita hawatafanya lolote la maana mbele ya safari. Barca wanahitaji kocha mwenye uwezo na mbinu za kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.
 
Messi hata kugonga mwamba jamani,!leo wabongo watakuwa wamemtafuna sana mhindi kwenye mambo ya kuweka "mzigo" kwa hii mechi.
 
Leo watu wametafunwa kama waliweka mkeka
 
Ukitaka kujua ujuzi,umuhimu na uimara wa Lionel Messi aka Andunje,basi subiri FC Barcelona iwe kwenye wakati kama wa leo.Wakati ambao wanatakiwa kushinda tu na si vinginevyo. Katika mechi ngumu kama ya leo ya Klabu Bingwa Barani Ulaya dhidi y Atletico Madrid,Messi hufanya jambo jema na la kufurahisha kwa timu yake. Leo atafanya tena leo hii.

Messi atayapindua matokeo ya Camp Nou ya 1-1 na kuipeleka mbele FC Barcelona. Kama hatafunga,atasaidia kufungwa kwa goli au magoli. Messi anasubiriwa leo kuudhihirishia ulimwengu ubora wake usio kifani.

Ni Messi leo...........

Ronaldinho made Barca...Barca made Messi
 
Haya kaka Messi... Barca ndio mnapotea hivyo na wazee wenu

yaani bora Messi wa Simba kuliko huyo gagulo anaesubiri tuzo za mbwembwe za kuchaguliwa bila kutoa jasho
 
Ukitaka kujua ujuzi,umuhimu na uimara wa Lionel Messi aka Andunje,basi subiri FC Barcelona iwe kwenye wakati kama wa leo.Wakati ambao wanatakiwa kushinda tu na si vinginevyo. Katika mechi ngumu kama ya leo ya Klabu Bingwa Barani Ulaya dhidi y Atletico Madrid,Messi hufanya jambo jema na la kufurahisha kwa timu yake. Leo atafanya tena leo hii.

Messi atayapindua matokeo ya Camp Nou ya 1-1 na kuipeleka mbele FC Barcelona. Kama hatafunga,atasaidia kufungwa kwa goli au magoli. Messi anasubiriwa leo kuudhihirishia ulimwengu ubora wake usio kifani.

Ni Messi leo...........
ndo ushuzi gani huyu nesi no red card no penalty hence no win balomania words..
 
barca ni xavi na iniesta. ukiwakamata hao wawili barca is nothing ndicho walichokifanya Atletico. Pia messi ni mchezaji mzuri ila sifa anazopewa zinashangaza sana jana imedhihirika namsubiri aje epl
 
Ukitaka kujua ujuzi,umuhimu na uimara wa Lionel Messi aka Andunje,basi subiri FC Barcelona iwe kwenye wakati kama wa leo.Wakati ambao wanatakiwa kushinda tu na si vinginevyo. Katika mechi ngumu kama ya leo ya Klabu Bingwa Barani Ulaya dhidi y Atletico Madrid,Messi hufanya jambo jema na la kufurahisha kwa timu yake. Leo atafanya tena leo hii.

Messi atayapindua matokeo ya Camp Nou ya 1-1 na kuipeleka mbele FC Barcelona. Kama hatafunga,atasaidia kufungwa kwa goli au magoli. Messi anasubiriwa leo kuudhihirishia ulimwengu ubora wake usio kifani.

Ni Messi leo...........

tatizo lako bwana mdogo unacopy na kupest, fatilia mpira vizuri utajuwa wakina nani wanajua na wakinanani wanabahatisha
viva club atretico de madrid.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom