nimekumbuka haya mashindano ya mpira baina ya timu za bara na zanzibar ilikuwa ni burudani,enzi ya mwembeni fc,chwanga fc, chakechake hizo ni chache tu. Sababu gani ilifanya ligi hii ipotee? Tuenzi muungano jamani soka la zanzibar linakufa.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.