Leo VPL kiporo Ruvu Shooting v Azam FC

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,555
kikosi hakina mabadiliko..
Muda: 16:00 Jioni
Uwanja: Mabatini kibaha

Kikosi cha azam fc dhidi ya ruvu shooting... Team today
1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Gadiel Michael
4. David Mwantika
5. Aggrey Moris
6. Michael Bolou
7. Himid Mao
8. Sallum Abubakar
9. Gaudence Mwaikimba
10. John Bocco
11. Kipre Tchetche

Subs
1. Mwadini Ally 2. Said Morad 3. Jabir Aziz 4. Brian Umony 5. Kelvin Friday 6. Mudathir Yahya 7. Khamis Mcha

Updates
************
FT Ruvu s 0 - 3 azam fc
 
Ndetichia na Deo mate hamtupendi wananchi cjui kwanini,lakin sisi tunawaombea njaa mteleze mabatini na sokoine,kuteleza kwenu itakua mwendo mdundo kwetu,nawatakia kila la heri katika kuteleza,wenu 'DAIMA MBELE NYUMA MWIKO'
 
Nitafurahi sana kama Ruvu shooting watawakalisha hawa lambalamba leo pale mabatini, Maguliiiiii
 
Azam tunakalisha jkt ruvu tunabeba kombe.
Leo mwaikimba ndo anawalaza hao migambo wa ruvu.
 
Jkt ruvu tena? Deo Corleone
kama ni hiyo mtaifunga ila kama si hiyo mnaweza kutoa sare.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom