WWE WrestleMania 30 live stream

WWE WrestleMania 30 live stream

murtaza816

New Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Watch WWE Wrestlemania 30 ...
[LIVE~STREAM] WWE WRESTLEMANIA 30 2014 ONLINE FULL EVENT | GIMP ...
GIMP
WWE Wrestlemania 30 2014 Live Streaming Watch Online Free
Watch WWE WrestleMania 30 Live Stream WrestleMania 30 Stream (Includes 2 Hour Pre-Show) Watch WWE WrestleMania 30 2014 Livestream Free Online ...
WrestleMania 30 Free Live Stream Watching Plans Made Official By ...
2 days ago - The WrestleMania 30 free live streaming options have been ... of the pre-show matches on our WrestleMania 30 watch list will not be offered for free. ... an event called WrestleMania Today being hosted by Twitch, the online …

https://docs.google.com/drawings/d/1QBjjs59BEWA1Au3KPUC-t0g7ZmteANwdQ9VKO1n06tQ/preview?pli=1
https://docs.google.com/presentatio...D98gZ7F-cSXpsJHIenKbqHqM14/preview#slide=id.p
 
tupe matokeo! Vp Randy Otorn, the Viper! Mzee wa Yes Yes Yes naye vp
 
Tunaomba matokeo plz.. rand & batista...brock resnal vs under taker
 
Mechi zinaanza Usiku sana Kama saa Tisa Usiku mida ya huku Afrika Mashariki, nafikiri matokeo tuanze kuyapata kuanzia hiyo mida
 
the streak has come to an end. 21-1 brock lesnar
 
The new WWE heavyweght champion is Daniel Brayani..huyu jamaaa namkubali sana ndoto yake imetimia sasa
 
Daniel Bryan defeated Triple H
The Shield defeated The New Age Outlaws and Kane
Cesaro eliminated Big Show to win the Andre The Giant Memorial Battle Royal
John Cena defeated Bray Wyatt
Brock Lesnar defeated The Undertaker
AJ Lee defeat Naomi to win the Divas Invitational and retain her title
Daniel Bryan defeated Batista and Randy Orton to win the WWE World Heavyweight Champions

wadau hayo ndio matokeo ya wwe wrestlemenia 30 iliyokipiga jana usiku mkaa saa moja asubuhi mida ya afrika mashariki.
 
Asante sana kwa taarifa mkuu
 
tunaomba matokeo plz.. rand & batista...brock resnal vs under taker

Brock lesner amempiga under taker...Daniel braya amempiga Trip H..ambapo kama ni mfuatiliaji mzuri utafaham kuwa kabla ya pambano la ubingwa wa WWE heavyweght champion ship..ilitakiwa.Daniel brayan apambane na Trip H then mshindi kati yao aingie kwenye kinyang'anyiro cha kuwania mikanda hoyo miwil..Hivyi basi Daniel brayan akawa ameshinda mechi hiyo dhid yaTrip H..kwa shida. So pambano la kuwana ubingwa ndio ikawa Daniel Brayan,Land orton.na The Animal batista..kiukweli pambano lilikuwa gumu sana.Trip H akaja kuingilia pambano hilo kwa kumvamia Daniel brayan..mara akaja na nyundo yaan ni balaa.lakin kwa umakin wa mr yes. Nyundo ilimgeukiwa Trip H mwenyewe.Wakati bambano limenoga sasa.Daniel bray akabamizwa na. Batista kwenye mameza yal ya watangazaji akakutana tena na Rko.. kiukweli huyu jamaa aliteseka sana.ikaonekana kuwa hatoweza kuendelea na mech madocta wakaja na kumweka kwe kitanda cha wagojnwa ambao hawawezi kutembea..akiwa kwenye kitanda.anarudishwa sasa ndani kwenda kutibiwa zaid..unajua nini kilitokea..akawashangaza madoctoka akainuka ghafla ukurud uwanjani..anakaribia uwanjan akanguka madocta wakaa tena wakamwambia bwana huwezi kuendelea na pambano..jamaa akawa mbishi akarudi uwanjano kama bahati tuu akawa amewaotea..kajamaa kakashinda..kwa kifupi ndio hivyo..So the new WWE Heavweight is Daniel brayan..thanks
 
Ahaa! umetazamia etv au live mkuu... natamani sana kuona hii kitu, I luv yes! yes! man.
 
Back
Top Bottom