RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,379
- 139,164
Naangalia mahojiano kati ya kijana mmoja yuko LONDON na SHAFII DAUDA katika kipindi cha SPORTS BAR YA CLOUDS TV kupitia skype.
Huyu kijana ni mtanzania alikuwa anacheza mpira na ameshiriki COPA COCA COLA. baadae akaamua kutafuta timu nje ya nchi. akafanikiwa kupata trio UK. Sasa akaenda wizara ya mambo ya ndani apate passport ili asafiri,immigration wakakataa na kumwambia sio mtanzani.
Akaenda TFF na kuwaomba wamsaidie kupata passport na akawaambia kuwa waangalie kumbukumbu zao alizxoshiriki COPA COCA COLA wakamwambia hawawezi,basi huyu kijana kwa sababu alisoma uganda akarudi kule na kuwaambia ukweli kuwa ni mtanzania ila wamemnyima fursa. WAGANDA WAKAMPA PASSPORT NA SASA HIVI ANACHEZEA WEST HAM YOUTH TEAM KAMA MGANDA NA AMEAPA HATA CHEZEA TANZANIA TENA,na mimi simlaumu.