Wambura akata tena rufaa TFF

Wambura akata tena rufaa TFF

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,153
Mpiganaji Michael Richard Wambura bado anaendelea kuipigania haki yake inayotishiwa kuporwa na kikundi kidogo cha watu waliojipa mamlaka ya kuwachagulia wana simba mtu anaetakiwa kuwa kiongozi wao, huku wakionekana wazi kuogopa jina la wambura lisifikishwe kwa wanachama kisha waamue wao hatima ya wambura.Tayari rufaa ya wambura imeshapokelewa na TFF kupitia kamati yake ya nidhamu na tayari imeshapangiwa tarehe ya kusikilizwa.

Aluta continua.
 
Aah tumechoka......hebu tuendelee na Kombe la dunia
 
Mpiganaji Michael Richard Wambura bado anaendelea kuipigania haki yake inayotishiwa kuporwa na kikundi kidogo cha watu waliojipa mamlaka ya kuwachagulia wana simba mtu anaetakiwa kuwa kiongozi wao,huku wakionekana wazi kuogopa jina la wambura lisifikishwe kwa wanachama kisha waamue wao hatima ya wambura.Tayari rufaa ya wambura imeshapokelewa na TFF kupitia kamati yake ya nidhamu na tayari imeshapangiwa tarehe ya kusikilizwa.

Aluta continua...

Kamati ya simba must be hopeless of all times! Wanamhukumu mtu bila kumsikiliza eti amefanya kampeni! -audi alteram partem- no man should be condemned unheard- atawashinda tu
 
hivi huyu jamaa mtu wa wapi maana anonekana anapenda sana kesi kila siku rufaa
 
hivi huyu jamaa mtu wa wapi maana anonekana anapenda sana kesi kila siku rufaa

No anapenda kuona haki inatendeka na ionekane wazi kwa kila mtu kwamba imetendeka.
 
Hayo majina ya akina Wambura naona wanapenda sana uongozi. Kwani kiongozi lazima uwe wewe. Inachosha jamani.
 
Hayo majina ya akina Wambura naona wanapenda sana uongozi. Kwani kiongozi lazima uwe wewe. Inachosha jamani.
Wenye mamlaka ya kumhoji maswali hayo ni wanachama wa simba kupitia sanduku la kura, sijui hawa wanakamati na kina azim na kassim dewji wanaogopa nini kumshtaki wambura kwa wanachama wamuadhibu kupitia sanduku la kura, wanataka kikundi jicho kidogo cha watu wasiofika kumi ndio watoe adhabu wao kwa Moana ya wanachama wote nchi nzima!
 
Jamani haonewi ila ni kwamba hajakidhi vigezo ye analazimisha si asubir kipindi kijacho
 
Back
Top Bottom