chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,205
- 304
Hivi izi timu zetu za ki-Africa zina shida gani jaman kwa mfano Nigeria wameshindwaje kuwa funga Iran jaman huku sikupeana maudhi aisee au nyie ndugu zangu mwaonaje
Ghana amekuja kupigilia msumari wa mwisho wa maumivu.Hivi izi timu zetu za ki-Africa zina shida gani jaman kwa mfano Nigeria wameshindwaje kuwa funga Iran jaman huku sikupeana maudhi aisee au nyie ndugu zangu mwaonaje
Hv nyinyi watz mnachakusema kuhusu mpira? Timu yenu iko wapi!?
Kwanza naweza kusema Cameroon ndio timu hovyo ya kiafrica. Nigeria wamecheza mpira mnzuri wenye confidence sema umaliziaji sio mzuri. Ghana nayo ni timu nzuri sana sema hawakuwa na kasi na ari ya kufunga kama wamarekani. Magoli ya wamarekani ya kibahati bahati sana kama la kwanza lile lilikuwa limetokea tu na makosa makubwa.
Lakin naweza kusema forward za ghana sio nzuri kunahitaji mtu mwingine anaweza kuwa na accuracy, speed and stamina.
Otherwise well done Ghana na Nigeria.
The king.
Miafrika hatujui, nashangaa sana watu wanaotegemea kuona makubwa kwa teams za Africa
Petition iwekwe timu za Africa zipunguzwe kushiriki wc au zitolewe zisishiriki kabisa, waende watu wanaojua tupate radha
Nigeria timu ni hovyo kabisa wala haikuwa na kiwango cha kucheza world cup.
..at least Ghana wana timu nzuri japo US nao safari hii wamekuja vizuri
Hivi izi timu zetu za ki-Africa zina shida gani jaman kwa mfano Nigeria wameshindwaje kuwa funga Iran jaman huku sikupeana maudhi aisee au nyie ndugu zangu mwaonaje