Sitakuja nisahau tukio hili daima...

Sitakuja nisahau tukio hili daima...

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,093
Jamani ndugu wanajamii forum kuna tukio ambalo binafsi sitakuja nisahau maishani mwangu, jana jumanne wakati naangalia game ya Ureno dhidi ya Ujerumani kupitia kituo cha tv cha ZBC ghafla matangazo ya kuonehsa mpira live yalikatwa na kujiunga na matangazo ya bunge jambo ambalo mimi liliniacha mdomo wazi kwa mshangao. je wewe mdau mwezangu wa tasnia ya habari jambo gani hutakuja kusahau ambalo lilifanywa na tasnia hii na kukuacha na mshangao?
 
yaan nilijua jambo la kutisha kumbe hawa ccm.wazoee tu.
 
ni hii siredi yako imeniacha na mshangao sana, wakati namaliza kusoma ya kisandu kufungua yako, nimeshangaa sana aisee. sitasahau huu ugoro daima.
 
Nilipoziona picha za Lema akipindwa, hakika sitasahau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom