Ndetirima
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,008
- 790
Huwa najiuliza sana Kamati inatoaje hukumu kwa mtu bila hata kufanya nae mazungumzo na kumpa nafasi ya kujitetea mi naona ni kama udikiteta fulani unaoendelea na kuonyesha ubabe usiokua na maana yoyote. Wambura anaogopewa nini kiasi hicho na kama wanafikiri wanachama hawamtaki si wakubali agombee na wamnyime kura ili ashindwe. Hiyo Kamati inafanya na kazi ya Mahakama pia?