CAF ilishirikiana na kusaidia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (“TFF”) pamoja na Wadau wengine kuwezesha Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuwa mwenyeji wa Mchezo wa Marudiano wa...
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa...
Habari wadau.
Naona viongozi wanatuchezea mchezo wa kutupiga hela.
Mwanzo Wametuuzia tiket kwa ajili ya fainali ya shirikisho caf kwa mkapa.
Mchezo umehamishiwa zanzibar ila hawataki kuruhusu...
Wala hakuna haja ya kutaka kusumbuka na hili lililojitokeza, waliosababisha haya wanajulikana sema sasahivi wamekaa kimya kama hawapo na zaidi wamewaruka watanzania kimanga kua hawakuambiwa...
Mjumbe wa Bodi ya Klabu ya Simba SC Crescentius Magori ameibua mashaka na maswali juu ya uamuzi wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kuagiza mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani...
Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni.
CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa...
Habari zenu waungwana??
Kuna jambo limenifanya Leo nicheke sana.jambo lenyewe ni hili na nimeweka hapa hatua za kufuata...
Azizi andambile alitolewa kwa mkopo kwenda yanga African,ambapo awali...
EDO: NJIA WALIOPITIA SIMBA KUFIKA FAINALI HAIKUWA SAHIHI
“Berkane Wametuonyesha kwamba kuna njia ambayo Simba walipita kufika fainali na inawezekana haikuwa sahihi sana. Hawakuwahi kukutana na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa.
Amesema maboresho hayo...
habari
kwanza nitangulie na kusema mimi ni simba ila nimeumia sana na hili swala la fainal kufanyika zanzibar
hili liteam litaishia kuvaa medali, na kama tulivyokubaliana mashabiki na wapenzi wa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa...
NIANZE kushukuru Mungu
Allah swbaahannah watalla
Mjaza Neema
Ndogondogo na KUBWA
Ndefu na fupi
Nene na nyembambaaaaa
NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama...
Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu...
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano...
Kwa kile nilichokiona jana mbali na kuwa na mchezo mgumu ila jambo moja la uhakika ni kuwa Simba tuna kocha wa maana sub ya kipindi cha pili ya kumtoa Kibu na kumuingiza Nouma ilikuwa kete muhimu...
#MICHEZO Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori ameibuka tena baada ya RS Berkane kufuta chapisho lao ambalo walichapisha kuhusu kubadirishwa kwa uwanja.
Magori amesema...
Simba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025
Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.