Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli? Sasa mnaenda poteza hii match...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha? Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
CAF wamezindua Kombe jipya la CAF Champions League (CAFCL), huu ndio muonekano wake.
5 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Katika ulimwengu wa michezo, mashabiki ndio moyo wa mchezo. Lakini je, tunalinda moyo huo au tunauua kwa utani na mizaha isiyo na mipaka? 2. Ligi yetu ya ndani inahitaji nidhamu kama ile...
2 Reactions
5 Replies
616 Views
Poti wangu Crescentius Magori, Msemaji Ahmed Ally, Mwenyekiti Mangungu, Meneja na Mtani wangu wa Kihaya Patrick Rweymamu, Wajumbe Salim Abdallah Mhene Try Again, Swedi Nkwabi na Dada yangu Asha...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Kutokana na changamoto za mechi kadhaa tulizozishuhudia mpaka sasa ambazo zimeleta ugumu kurudisha pesa kwa watu, ningeshauri mfumo wa N-Card uwe na uwezo wa kuruhusu watu kuuziana tiketi ndani ya...
8 Reactions
12 Replies
724 Views
NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA. Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Yanga ni timu bora sana, tumeshindwa kufuzu robo fainali Klabu bingwa Africa sababu ya kupoteza kizembe mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Hilal na baadae kufungwa ugenini na Mc Alger hivyo...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Bodi ya Ligi inamtafuta Nini Yanga, yani wamepanga mechi za yanga mwishoni mwa mwezi wa Sita , yanga anacheza Leo tarehe 13.05.25 , mechi ingine inayofuata ni tarehe 18.05.25 mechi ingine ni...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Egypt - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF South Africa - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF Nigeria - Timu ya Taifa nzuri, clubs hola CAF. ....and the list goes on. Morocco - Timu ya Taifa...
3 Reactions
16 Replies
967 Views
Kama ni hili kweli tunabeba , tunalo na tunatamba nalo. Utopolo mjipange nyie bado sana 😂. Hii michuano ni ya wakubwa
1 Reactions
8 Replies
389 Views
Kama mkijua wamesahauuu Huu upuuzi ukiwafanya CAF waseme final znz No kwa mkaapaaaa msahauuuu
3 Reactions
8 Replies
680 Views
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400, Aziz ki amecheza Yanga Kwa...
30 Reactions
98 Replies
5K Views
Kuwa Yanga ilikuwa imeanzishwa kama team ya watu wasio na Elimu. Hii ni kama kauli ya kutupa laana. Mimi nina Elimu nipo Yanga. Ni Daktari nipo Wizara Nyeti nazunguka Duniani. Ninaipenda Yanga...
7 Reactions
12 Replies
653 Views
Na ingekuwa vema tukiambatanishiwa na na Risiti ya Malipo ili hata wabishi waone, wasidhani ni Changa la macho kama bilioni 20 za MO Naomba kuwasilisha.
2 Reactions
5 Replies
420 Views
Makala hii nimeitoa lwa abas mwalimu,nimeileta hapa ili wote tujifunze.nililua namuona Mo tapeli baada ya kusoma hii makala nimepata elimu na sina neno kanjbhai YANGA IJIFUNZE KUTOKANA NA MKWAMO...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Kauli kama hii si kauli ya kimichezo. Hivi ni vitisho na no dhahiri ni jinai. Kauli za vijiweni hazipaswi kugeuzwa kauli rasmi za timu. Hakuna kauli ya Msemaji wa timu inayoweza kuchukuliwa kama...
6 Reactions
4 Replies
438 Views
Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Mimi kama shabiki kindaki ndaki wa Simba Baada ya kushtushwa na sakata la kolo management yetu.....Kwa akili timamu nimeamua sitanunua ticket zingine .... ticket za awali zitumike Viongozi wa...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Back
Top Bottom