Tuwaachia kiteam chao

Tuwaachia kiteam chao

WARBOYy

Member
Joined
Mar 19, 2025
Posts
68
Reaction score
84
habari
kwanza nitangulie na kusema mimi ni simba ila nimeumia sana na hili swala la fainal kufanyika zanzibar
hili liteam litaishia kuvaa medali, na kama tulivyokubaliana mashabiki na wapenzi wa mpira tanzania na duniani kote kwamba "medari bila kombe ni sawa na hirizi tu","vifuniko vya soda","vibati vya mashindano ya kina mama au waliofeli
ili kungundua hii mission imepangwa na viongozi wa juu ni pale wanaposema "caf imezuia uwanja wa taifa kwakua haujakizi vigezo na caf kuelekeza huo mchezo ufanyike zanzibar" swali linakuja ndio uwanja wa mkapa ni mbovu (jambo ambalo ni uongo wa wazi huwezi kulinganisha mkapa na amaan hata siku moja) shida caf wanaipangiaje team mahali pakuchezea?
kama wao viongozi wa juu wa simba wamekula hela au kushawishiwa kwa namna moja ama nyingine kwenda kule

namimi nasema watakuwa wamenipunguzia presha kwa sasa nasema lolote na liwe wakifungwa sawa WAKISHINDA SAWA

HITIMISHO

viongozi wa juu wanaamua wenyewe nini wafanye na nini wasifanye kwakua hizi mbwa za chini hazijui nini zinataka na nini hazitaki kwajiri ya faida na maedeleo ya baadae ya nchi.

mtajua wenyewe
 
Namimi naungana na wewe mdau viongozi mmekubali kuumiza mashabiki wenu kwa kumfurahisha chura kiziwi na watu wake.

Sasa bakini na litimu lenu mbwa nyie tena mpigwe hadi mchakae.ningekuwa na uwezo ningewatandika risasi wote mfe.

Nanyie watanzania acheni ujinga kesho mkadai hela zenu na muwaachie timu lao tena mgome kwenda kwenye mechi zao tuone kama mama na genge lake watajaza uwanja.

Watanzania acheni ujinga mtatumika mpaka lini. Walishawaona mapoyoyo ndio maana wanawafanya watakavyo inakera sana .

Viongozi bakini na timu yenu mfurahi wenyewe na ninasema hivi mtapigwa tu mpende msipende mtapigwa
 
NENDA SHULE MKUU UMEZIDISHA SANA AISEE.

Pitch.
Pale pa kuchezea Mpira.
Pale kwenye nyasi
Na Nyasi zenyewe.

Selikali imeufunga Uwanja kwa miaka 3 na Kutenga Bilioni 31 ili parekebishwe hadi leo hakuna Marekebishobyoyote.

Yani hakuna.
1. Drainage sytem za kutoa maji.
2. Hakuna layer za udongo kuinua uwanja.
3. Majani mabaya yaliyochoka nk.

Turn base inatakiwa kufumuliwa yote na kuanza upya kuweka Drainage, udongo na kupanda majani Upya.
 
Mmh..! engineer sasa. utafikili akipewa deal atafanya
 
NENDA SHULE MKUU UMEZIDISHA SANA AISEE.

Pitch.
Pale pa kuchezea Mpira.
Pale kwenye nyasi
Na Nyasi zenyewe.

Selikali imeufunga Uwanja kwa miaka 3 na Kutenga Bilioni 31 ili parekebishwe hadi leo hakuna Marekebishobyoyote.

Yani hakuna.
1. Drainage sytem za kutoa maji.
2. Hakuna layer za udongo kuinua uwanja.
3. Majani mabaya yaliyochoka nk.

Turn base inatakiwa kufumuliwa yote na kuanza upya kuweka Drainage, udongo na kupanda majani Upya.
Magori na Msigwa wametuambia uwanja uko safi tayari kwa kutumika.
 
Back
Top Bottom