Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar.
Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
Final(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo?
Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next...
CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa
Uhalisia wa madai haya...
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja...
Kama CAF
Wamesimama MSIMAMO WAOO
NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb
Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa
Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final
Huko nyuma...
Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu.
Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani...
RS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao
Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani.
Kikosi cha Simba tayari...
Tunaojua Sanaa ya Vita tunajua kamwe usiruhusu adui yako akakuchagulia silaha. Daudi alipoingia uwanja wa vita kumkabili Goliath alikataa kuvaa na kubeba silaha alizopewa, akalazimisha kwenda na...
Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa
Timu limepigwa goli 2 bila kelele
Ball possession RS Berkane iliongoza 78%
Simba walicheza kama wapo pungufu
Berkane wanakuja ku press kama...
Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania...
Wakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Mwana FA...
Wangapi mnakikumbuka Kikosi hiki kilichoshiriki Euro 96 palepale kwao England
Kutoka kushoto kwenda kulia gary neville, David platt, mcmanaman, Darren anderton, seamen na shearer
Waliochuchumaa...
Kocha bora kwa muongo mmoja na nusu uliopita bila shaka ni Josep “pep” Guardiola kutoka Spain.
Huyu akiikamata mechi atakutawala kwanzia possession, mashambulizi, magoli yaani kila kitu. Kama...
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja...
Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.