Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu...
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano...
Kwa kile nilichokiona jana mbali na kuwa na mchezo mgumu ila jambo moja la uhakika ni kuwa Simba tuna kocha wa maana sub ya kipindi cha pili ya kumtoa Kibu na kumuingiza Nouma ilikuwa kete muhimu...
#MICHEZO Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori ameibuka tena baada ya RS Berkane kufuta chapisho lao ambalo walichapisha kuhusu kubadirishwa kwa uwanja.
Magori amesema...
Simba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025
Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa...
Hapo vip!!
Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa...
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco...
Kamati ya Mpira wa Miguu wa Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake kilichopita taarifa za mechi za Ligi Kuu ya Wanawake imemfungia Meneja wa Simba Queens...
Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja...
Uwanja wa Benjamin Mkapa (maarufu kama Uwanja wa Taifa) jijini Dar es Salaam, Tanzania, umeondolewa sifa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) za kuandaa mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho kati...
Kuna jambo la kujifunza hapa kwa timu zetu za ndani: mamlaka ya yakishaamua jambo, hata kama una ukakasi nalo - weka hisia pembeni, tii mamlaka.
Naamini kabisa uongozi wa simba walijua kabisa ni...
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo...
Huu ndio usumbufu nilioupata Jana Baada ya kwenda kuwa support Simba kwenye michezo wao kwenye vibanda umiza
Baada ya nyama ( kasongo) kula chuma ya kwanza ..dk ya 7.....Kuna kolo ghafla akaanza...
Klabu ya Rs Berkane tayari imeshafanya maandalizi ya sehemu ya kufikia ( Hotel ) huko Zanzibar mapema tu siku chache nyuma ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano fainali kombe...
DHANA!!!
Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.
Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo...
ZNZ N MOJA YA SEHEMU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WANA UWANJA UNAKIDHI MATAKWA NA SHERIA NA KANUNI ZA CAF
HAKA KAUSEMI NIMEKAPENDA SANA KWENYE MAJIBU YA CAF....
NIRUDI KWENYE MADA WANA...
Hii mechi imekuwa na sintofahamu nyingi ni wapi itafanyika, Caf walishatoa ratiba Simba wanalijua hilo na TFF wanayo taarifa kamili ni wapi mchezo huo utafanyika
Maajabu ni kwamba Simba na TFF ni...
Wapendwa ktk bwana
Nawasalimu kwa heshima ya jamhuri ya muungano wa tanzania
Wakati sisi simba lialia tunaendelea kulalamikia tuchexe final kwa mkapa
Na huku caf wakilalamika uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.