Ligi Kuu England (Premier League) 2026/27 inaanza rasmi leo, Ijumaa Agosti 21, huku mabingwa watetezi Arsenal wakifungua msimu dhidi ya Coventry City kwenye Uwanja wa Emirates.
Mchezo huo...
Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Jumatano, Agosti 19, 2026, kwa michezo mitatu, huku Simba SC ikishuka dimbani kumenyana na Pamba Jiji FC katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa...
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya, akitokea Pyramids FC ya Misri.
Nyota huyo wa...
Nafurahishwa mno na kitendo cha kocha Juma Kaseja katika fani yake hii ya ukocha.
Hatua unazopitia usikate tamaa kwani sasa ni kocha mkuu wa timu ya Kagera ambayo uliteremka nayo daraja na kupanda...
FEISAL SALUM ana ofa ya Mkataba mpya kutoka Azam ambao ni wa miaka miwili.
Mchezaji ametaka Signing fee ya Billion 5 (5,000,000,000) kwa miaka yote miwili pamoja na mshahara wa Million 200...
Shirikisho la Soka nchini Senegal limemtaza rasmi gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (‘Lions of Teranga’)...
Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini ...
Baraza la Michezo la Taifa, BMT, limetoa ufafanuzi kwa umma, wanachama na wadau wa Klabu ya Simba kuhusu utekelezaji wa Katiba iliyorekebishwa ya klabu hiyo iliyoidhinishwa tarehe 18 Februari...
Wakuu!
Bila shaka msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya NBC umetoa funzo na mwelekeo wa namna ya kuboresha kanuni za mashindano kuelekea msimu wa 2026/27 ili kuongeza nidhamu, ushindani na hadhi ya...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia, amesema Shirikisho hilo limepitisha maboresho makubwa ya kanuni za mpira wa miguu kuelekea msimu mpya, ikihusisha kuongeza adhabu...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wameingiza kitita cha Shilingi bilioni 4.6 kufuatia kukamilisha mauzo ya mastaa wao wawili wa kigeni, Laurindo Aurellio ‘Depu’ na Allan...
FANTASY PREMIER LEAGUE
Familia karibuni kwenye ligi ya watu wa mpira ya fantasy msimu huu mpya wa premier league, ligi yetu ina season 5 hadi sasa za ushindani karibuni tukafurahie msimu mpya wa...
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali...
HIZI SIO TIMU MBILI TOFAUTI, HII NI YOUNG AFRICANS. Na hiki ndicho kitu tulichokikosa msimu uliopita ambapo hatukuwa na kikosi kipana kama hivi kutokana na sababu mbalimbali kama majeraha yaani...
Tuliambiwa tumesajili Doumbia wa ukweli kutoka ligi kuu ya Mali, tena alikuwa mfungaji bora kwenye ligi hiyo. Hiyo ni taarifa ya kweli.
Lakini ligi kuu ya mali si chochote kitu, si miongoni mwa...
Kocha wa Real Madrid, José Mourinho, hatimaye amezungumza baada ya Real Madrid kushindwa kumsajili Rodri, ambaye alijiunga na wapinzani wao Barcelona, siku ya Jana.
Mourinho alifichua kwamba Real...
Mimi nilijua Simba haiwezi kuwa na mchezaji wa X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili, intelijensia yangu iliniambia hawawezi kusajili mchezaji ambaye anaweza kutikisa.
Kwa hiyo ili...
Aliyekuwa kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, maafisa wa soka nchini humo wametangaza Jumanne.
Shirikisho la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.