Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,298
- 27,599
Hakika mpk sasa sielewi nini kili Fanya mpaka wakashindwa mechi ya jana?
Dominance ya mechi ilikua vizuri sana, pale katikati walikuwa vizuri kukata presha na kupasiana, ila kwenye counter ndo walikuwa wana delay kabisa, why jamaa hawakuwa wanampasia CR7?
High intensity game kama hii ilikua ni ya counter na kila muda ronaldo alikuwa a najaribu kufungua but those motherfukas walikua wana delay kabisa...
Tena huyu Bruno ndo kabisa zile cross zake sikuziona kabisa, ilikua kama yupo hayupo..
Mimi naona hawa washenzi walivyo ona ronaldo kasema yuko poa tu hata kama akitolewa ndo wakaona wamkomoe...
Ila, we all know it was possible kuchukua doo kabisa, ni lack of passion.. Na ndo kitu Argentina 🇦🇷 wanacho, they've no top classical players but they're willing to lock in within every second of the game.
Hawa jamaa wachezaji wa Portugal 🇵🇹 hawata enjoy their careers kwa upuuzi walofanya. It wiil eat them their entire career, bora hata Mendez he gave his all.
Let the GOAT 🐐 rest, winning 🥇 the world cup does not define his impact