Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya...
3 Reactions
22 Replies
615 Views
Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!. Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England...
7 Reactions
2K Replies
171K Views
Tarehe 24 Agosti imeacha alama kubwa katika historia ya soka, kuanzia rekodi za Arsenal, hat-trick ya Thierry Henry hadi mafanikio makubwa ya Bayern Munich. Haya ni baadhi ya matukio muhimu...
1 Reactions
2 Replies
82 Views
Ninasikia kuna Timu moja imemuomba Mganga wao abadili Uchawi wake kwani hawajui nani atafuata kuzikwa Kisutu.
4 Reactions
10 Replies
370 Views
City leo wanakibarua kumkabili bournmouth dimbani leo saa 10.kuliko na wataalamu wametabiri sare maana city wakianza gemu na hii timu ni labda wafungwe ama wasare lakin ushindi hamna.
1 Reactions
4 Replies
76 Views
Rais wa Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA), Aleksander Čeferin, amesema hatagombea urais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA) dhidi ya rais wa sasa, Gianni Infantino, lakini amemtaka Kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Tulia Trust tunatarajia kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwetu kwa kuandaa Tulia Traditional Dance Festival 2026 kwa msımu wa kumi (10), Tamasha kubwa la Ngoma za Asili litafanyika kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Mtanange mkali Leo. Timu pendwa Afrika Mashariki na Kati iliyo namba 9 kwenye viwango vya mpira Afrika na duniani namba 58 SIMBA SC leo itaonyesha burudani ya kufa na shoka ikiwa chini ya...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Mazungumzo ya kibiashara kati ya Manchester City na Lille kuhusu dili la kiungo fundi Ayyoub Bouaddi yamekamilika ili kiungo huyo ahamie katika klabu ya Manchester City. Bouaddi raia wa Morocco...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria...
7 Reactions
22 Replies
365 Views
Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Alichosema Jamal Bakhressa kinasemwa na wengi, na huo ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ndio uliosababisha hata TFF kukubali kuleta waamunzi kutoka nje kuchezesha mechi za ligi, kufungia waamuzi na...
1 Reactions
4 Replies
228 Views
Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U timu itakuwa inapigwa mtungo mlituona vilopolopo, haya oneni sasa! Hakika Kila klabu pale EPL itakuwa inaidinya tu hii Mantesa...
1 Reactions
15 Replies
229 Views
Wananchi wameamka asubuhi, Kisha wamechagua ukatili. Matumizi makubwa sana ya nguvu kumuua mbu, aliye juu ya nyeti za aliyetahiriwa bila ganzi. Pesa zipo bank? GSM zipo mfuko wa shati. Watu wa...
7 Reactions
34 Replies
442 Views
Full name: Brighton & Hove Albion F.C. Nickname(s): The Seagulls Short name: Brighton Founded: 1901 as Brighton & Hove United | 1901 as Brighton & Hove Albion F.C. Ground: Falmer Stadium...
11 Reactions
252 Replies
15K Views
Wataondoka sana na pesa za watu hasa uku mwanzoni
6 Reactions
4 Replies
117 Views
Tusichekane Simba SC kwa Doumbia tumepigwa na nyie Yanga SC kwa Cheketule mmepigwa na aliyemleta kwenu. Cheketule ni yule Mshambuliaji ambaye Yanga SC wametamba sana tu kumsajili kutoka Sudan...
2 Reactions
2 Replies
136 Views
City leo wanaonesha dalili ya kuzingua naona wataongezewa goli lingine
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Baada ya Rwanda kuidhamini Aston Villa mara moja nikasema Aston Villa kwisha. Kila sehemu PAKA akigusa ni gundu tu. Huyu jamaa ana rohho mchafu muharibu. Alipohudhuria majuzi kuangalia mechi ya...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
Ni mpango wao,hujuma,uzembe mazoea mabaya?
2 Reactions
5 Replies
173 Views
Back
Top Bottom