Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu...
Kwa watu wa ball you bella wochi you back once again chondechonde kwa. benchi la ufundi la wanasimba tunaomba huyu dogo asicheze kama. Kweli tuko serious na kusaka ubingwa
Semfuko huyu dogo...
Klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji, Allan Okello ‘Star Boy’ kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Young Africans SC ya Tanzania
Soma Pia: Biashara ya...
Tottenham Hotspur wameingia kwenye msimu wa 2026/27 kwa kufanya usajili mkubwa, huku klabu hiyo ikiendelea kujenga upya kikosi chini ya kocha Roberto De Zerbi. Spurs tayari wameongeza nyota...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na...
I will be short
Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️
Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion.
Kibongo bongo
Ni pesa za...
Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida...
▪︎ Ataka kazi ifanyike usiku na mchana inapowezekana
▪︎ Asisitiza mashindano hayo ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa Tanzania
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa...
Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba.
Hela zoooooote...
Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, wameendeleza kasi yao katika msimu mpya baada ya kuichapa Coastal Union mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex.
Yanga ilionyesha...
Mario Balotelli ni mshambuliaji wa Italia mwenye asili ya Ghana, aliyezaliwa 12 Agosti 1990, nchini Italia. Alianza kujulikana akiwa na Inter Milan, ambako alishinda mataji kadhaa chini ya José...
Miaka tisa iliyopita, Kylian Mbappé na Bernardo Silva walikuwa sehemu ya kikosi cha Monaco kilichotikisa soka la Ulaya mwaka 2017.
Wawili hao walicheza pamoja katika kikosi hicho kabla ya...
Ligi Kuu England (Premier League) 2026/27 inaanza rasmi leo, Ijumaa Agosti 21, huku mabingwa watetezi Arsenal wakifungua msimu dhidi ya Coventry City kwenye Uwanja wa Emirates.
Mchezo huo...
Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Jumatano, Agosti 19, 2026, kwa michezo mitatu, huku Simba SC ikishuka dimbani kumenyana na Pamba Jiji FC katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa...
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya, akitokea Pyramids FC ya Misri.
Nyota huyo wa...
Nafurahishwa mno na kitendo cha kocha Juma Kaseja katika fani yake hii ya ukocha.
Hatua unazopitia usikate tamaa kwani sasa ni kocha mkuu wa timu ya Kagera ambayo uliteremka nayo daraja na kupanda...
FEISAL SALUM ana ofa ya Mkataba mpya kutoka Azam ambao ni wa miaka miwili.
Mchezaji ametaka Signing fee ya Billion 5 (5,000,000,000) kwa miaka yote miwili pamoja na mshahara wa Million 200...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.