Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

On 18 April 2007, Messi scored a goal against Getafe CF which was very similar to Maradona's Goal of the Century, scored against England in the 1986 World Cup. The world's sports press exploded...
6 Reactions
547 Replies
39K Views
Mabingwa mara mbili wa Kombe la Dunia, Ufaransa, watakutana na mabingwa wa mara moja Hispania katika mchezo wa nusu fainali utakaochezwa Texas, huku mataifa hayo mawili makubwa ya soka barani...
5 Reactions
159 Replies
3K Views
  • Featured
Wakati Morocco ikiendelea kuandika historia uwanjani katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026, inaendelea na mipango mukubwa ya ujenzi wa uwanja baada ya kuwa mwenyeji wa Fainali ya Kombe la Dunia la...
9 Reactions
11 Replies
605 Views
Yanga wamelitumia tena Nyumba lao ambalo walilipa jina la Nyumba la maajabu pale Major Isamuhyo Stadium katika mchezo wao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania. Tarehe 3 Mei, 2026 Yanga...
4 Reactions
27 Replies
595 Views
Ni mechi ambayo inaenda kukumbushia historia ya vizazi vingi katika nyanja mbalimbali Huko Atlanta, Lionel Messi atacheza dhidi ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika taaluma yake huku mabingwa...
2 Reactions
7 Replies
276 Views
Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno...
3 Reactions
1 Replies
191 Views
Hisia zangu zinaniambia England anamtoa Argentina counter attack za England zinaweza zikawa mwiba mkali kwa Argentina. England watamnyima space Argentina kitu ambacho kitawapa wakati mgumu
1 Reactions
3 Replies
146 Views
Hakika compusure na mikakati na uwezo wake mchezoni ni wa kipekee. Good football!
1 Reactions
8 Replies
275 Views
Kwa heshima na taadhima naomba huu uzi usihamishwe. Wakuu nataka kujaribu bahati yangu, nina kiasi hiko cha fedha nikigawanye Nikigawanye mara tatu, nusu fainali kati ya Argentina na England...
5 Reactions
45 Replies
880 Views
Tickets for the later stages of the 2026 FIFA World Cup are commanding record-high prices. Resale and official last-minute tickets are generally starting between $1,000 to $2,000 for...
3 Reactions
3 Replies
239 Views
Kufuatia kuongezeka kwa joto la mivutano baada ya Senegal kungolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia, serikali ya nchi hiyo imeingilia kati na kuliagiza Shirikisho la Kandanda la Senegal (FSF)...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Ni kama pigo ila naona nguvu za kuchezea pesa zinatumika kujisafisha. Kwa haya yaliyopo tanzania kama mambo yataendelea basi Rwanda kashasoma mchezo.
11 Reactions
55 Replies
1K Views
Tiketi ni za moto sana na maisha ya USA yapo juu mno ndio maana atuoni matangazo ya makampuni kutoa ofa ya watu kwenda kuona hata mechi moja Tiketi ya bei chee ni 30m+ huu ni mtaji
6 Reactions
23 Replies
424 Views
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeanzisha mauzo ya vipande vya nyasi halisi vitakavyotumika kwenye mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2026, hatua iliyozua mjadala mkubwa...
2 Reactions
3 Replies
185 Views
Kamati ya Mashindano ya TFF imeitoza Azam FC faini ya shilingi milioni 50 kwa kukataa kushiriki kwenye sherehe za kukabidhiwa tuzo na zawadi baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA)...
0 Reactions
4 Replies
273 Views
Zangu Fundi na kwa Kujiamini kabisa nina uhakika 4 zitatoboa hadi Nusu Fainali, 2 Fainali na 1 kuwa Bingwa kabisa 1. ARGENTINA 2. GERMANY 3. SPAIN 4. MEXICO 5. NETHERLANDS 6. SENEGAL 7. GHANA Na...
9 Reactions
47 Replies
637 Views
  • Featured
Ronald Koeman amejiuzulu rasmi kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 katika hatua ya 32 bora kufuatia kufungwa na Morocco kwa mikwaju...
7 Reactions
66 Replies
995 Views
Ni aibu kwakweli nilipita Songea uwanja wa maji maji nilikuwa naangalia mpira mchezaji akapiga shoot kwa kipa kipa akaukosa ukapaa juu hadi nje ya uzio wa ukuta yaan ukawapita mashabiki hadi nje...
8 Reactions
30 Replies
484 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine timu 4 bora kila mmoja anacheza na mwenzie katika mfumo wa league?? Just imagine how enjoyable that thing might be. Huu mtindo wa mechi moja Nusu...
2 Reactions
22 Replies
281 Views
  • Featured
Shirikisho la Soka la Senegal limemfuta kazi kocha mkuu Pape Thiaw na benchi lake lote la ufundi baada ya kutolewa katika hatua ya 32 bora, wiki chache tu baada ya kusaini mkataba mpya kabla ya...
6 Reactions
17 Replies
574 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…