MO haidai Simba hata shilingi moja, inamdai yeye

MO haidai Simba hata shilingi moja, inamdai yeye

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,046
Reaction score
16,724
Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba.

Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo haya yame promote bidhaa zake zikauzika sokoni kama nyungu hadi akawa bilionea namba moja kijana Afrika. Simba imemtangaza mo hadi akajulikana ndani na nje ya nchi. Anaijua thamani ya kutangazwa?

Simba haina deni lolote, sanasana inamdai mo na makampuni yake yaliyoimarika kutokana na kubebwa na Simba, na hii ndiyo iliyomfanya asiende kuzifadhili timu nyingine.
 
Kwani MO kapata pesa ngapi kutokana na matangazo Yake na Simba?, halafu Kila siku mbona MO anasema anaidai Simba, hivi hakuna mtu au wataalamu watakaopiga calculation namna gani MO kafaidika na Simba Kwa kiasi gani cha Pesa ili kuondoa kisingizio cha kudaiwa kama hoja ya kuepuka mzigo wa uwajibikaji?
 
Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba.

Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo haya yame promote bidhaa zake zikauzika sokoni kama nyungu hadi akawa bilionea namba moja kijana Afrika. Simba imemtangaza mo hadi akajulikana ndani na nje ya nchi.

Simba haina deni lolote, sanasana inamdai mo na makampuni yake yaliyoimarika kutokana na kubebwa na Simba, na hii ndiyo iliyomfanya asiende kuzifadhili timu nyingine.
Haiishi tu Mo kuidai simba billions of shilings! Yeye na familia yake ndiyo wamiliki halali wa timu ya simba. Kama huamini muulize Mangungu.
 
Kwani MO kapata pesa ngapi kutokana na matangazo Yake na Simba?, halafu Kila siku mbona MO anasema anaidai Simba, hivi hakuna mtu au wataalamu watakaopiga calculation namna gani MO kafaidika na Simba Kwa kiasi gani cha Pesa ili kuondoa kisingizio cha kudaiwa kama hoja ya kuepuka mzigo wa uwajibikaji?
Hadai kitu, thamani ya Simba kumtangaza yeye, makampuni yake na bidhaa zake ni zaidi ya 100b. Wanachama na mashabiki wa simba wanavaa jezi za simba zenye chapa ya mo mpaka kwenye makalio yao, anajua thamani ya shabiki kuvaa jezi ya simba yenye mo foundation kwenye kalio?

Kuna wakati mashabiki wa Simba wamekunywa sumu nyingi zilizomo kwenye Mo Extra energy, mo cola na majuice mengine ya hovyo ili kusaidi mo apate faidi. Anajua madhara wanayopata mashabiki kwa kunywa Mo extra 10 kila siku?. Yaani Simba inamdai yeye, zile 20b zake hatujui ziko wapi lakini hazitoshi kabisa na anadaiwa, akae akijua hilo.
 
Simba mnamajungu sana atawaachia mikia yenu aondoke muanze kupga myayo
Heri ya poengo kuliko jino bovu, aende zake tu tutapata kibopa mwingine. Mbona kule yanga aliondoka Manji kibopa na wakapata GSM kibopa mwingine?. Mbona GSM hakwenda kuidhamini Mbeya city?. Unaposhirikiana na Simba na yanga ujue kuwa unashirikiana na soko kubwa la watu 60m.
 
Sijawahi muelewa wala muamini huyu tajiri hewa. Tatizo la simba ni kukosekana mtu mwenye akili japo mmoja tu kumtimua tajiri uchwara mwenye maneno mengi kama mzaramo.
Tajiri gani asiye na kampuni hata moja. Anachofanya ni kubandika nembo yake tu kwenye bidhaa za watu. Akijitahidi anaagiza mzigo Uchina akiwa ameweka chata yake.
 
Haiishi tu Mo kuidai simba billions of shilings! Yeye na familia yake ndiyo wamiliki halali wa timu ya simba. Kama huamini muulize Mangungu.
Anadhani watanzania ni wajinga hawajui hesabu, uchumi na marketing. Mimi nanunua kwa pesa yangu jezi yenye nembo ya kampuni yake na bidhaa zaake jezi nzima mpaka sehemu ya kalio. Anajua thamani ya kuivaa jezi niliyoinunua mimi lakini imejaa biashara zake kila pahala?. Alipaswa angalau kutugawia bure mat-shirts hayo kama wanavyofanya Tanzania breweries na wengine.
 
Nijulikane kupitia mtu au kundi flani tukiwa kwenye mikataba mwisho wa siku mrudi kuniambia mnanidai kupitia kwenu.
Simba ni tibu kubwa tatizo viongozi wana ubinafsi sana. Kila mtu anavuta kwake pasipokujua matokeo yake yatakua hasi au chanya. Mwisho wa siku mambo yakiharibika lawama kwa MO bila kujua kwamba uongozi wao ni mwiba.
Pasipo kushirikiana na boss wako lazma mtafaruku uwepo. Simba kila mtu anajua kuongea ni kama yeye ndio alianzisha timu.
Simba punguzeni shobo, shirikianeni, shikaneni mikono, toeni miba ndani ya timu muijenge timu. Kaeni hapo na pesa zikiwa benki nyie sasa!
 
Hebu niambie kwanini mtu anasema anaoata hasara lakini hatokì. Familia imeiandama simba utadhani
 
Hebu niambie kwanini mtu anasema anaoata hasara lakini hatokì. Familia imeiandama simba utadhani
n kwa sababu hajafikisha target anayoitaka yeye kama yeye. Labda kuna mambo ya mkataba yanamfanya asiachie. Na pili hakuna cku tajir atasema mwaka huu nimepata faida nyng kwan wafanyakaz watadai labda kuongezewa mishahara na yeye labda hayupo tayar.
 
Mkuu Mopak
 
Back
Top Bottom