Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Salaam, Wakuu tukutane kijiwe cha drafti hapa: Kama kawaida mimi nipo kijiweni. Game langu ni dakika tatu (3) zikizidi tano (5) tu sitaki anayesinzia. Ingia hapa create akaunti yako dakika moja...
1 Reactions
0 Replies
73 Views
Simba imeibuka na ushindi wa bao 1 kwa 0 dhidi ya Coastal Union, Bao lililofungwa na Ismail Toure. Kwa Ushindi huo Simba inaongoza Msimamo wa ligi ikiwa na alama 12 huku watani wao wa jadi wakiwa...
1 Reactions
24 Replies
905 Views
Zikisalia siku tatu kabla ya dirisha la usajili kufungwa rasmi, Arsenal hawajakata tamaa katika harakati zao za kumsajili mshambuliaji wa Argentina Julian Alvarez, 26, ambaye inadaiwa anataka...
1 Reactions
1 Replies
92 Views
Nilileta uzi humu kuhusu malalamiko ya huyu kocha lakini MODS waliufuta kwa madai ya kuwa kijana aliymtuhumu kocha amekiri kusema uwongo. Leo EFM wamejadili suala hili, na hapa nawaletea link...
3 Reactions
22 Replies
779 Views
Magolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba . Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba. Simba...
3 Reactions
19 Replies
283 Views
Ni siku nyingine tena ambayo wapenzi na wafuatiliaji wa kandanda hususani michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya maarufu kama UEFA CHAMPIONS LEAGUE wakisubiri kushuhudia draw ya michuano hiyo...
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Anonymous
Huku Tanzania ikiendelea kujiandaa kwa ajili ya mashindano makubwa ya AFCON 2027, muundo wa Uwanja wa Arusha Stadium umeibua mjadala mzito miongoni mwa wadau na mashabiki wa soka nchini. Sababu...
0 Reactions
6 Replies
365 Views
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe leo nina swali dogo tu kwenu. Ivi msiofqnya mazoezi huwa mnakabiriana vipi na 1.Msongo wa mawazo na sonona 2.Tatizo la nguvu za kiume 3.Kusosholaizi na watu...
8 Reactions
44 Replies
586 Views
Hizi ni mechi za leo juma tano tarehe 26 / 8 , mkeka wangu nimejibwaga kama hivyo . mnaonaje wakuu je nitatoboa? hii ni straight win. Real Madrid — WIN Lyngby — WIN Gagra — WIN AEK Athens...
6 Reactions
20 Replies
299 Views
Wanasema kitabu cha Wakorintho kilieleweka zaidi na Wakorintho wenyewe kuliko kilivyosomwa na watu wa Efeso, kwa sababu anayebeba uzito wa jambo fulani ndiye anayejua kina chake kuliko...
2 Reactions
4 Replies
99 Views
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Selemani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na...
11 Reactions
180 Replies
3K Views
Matches 2 za Yanga Selemani Mwalimu hajacheza. Why? Why? Kocha una tatizo gani kumtumia Sele Gomez? Huyu tulimchukua kwa shangwe leo anachezea bench tu? Maana yake nini? Yeye alisema anaondoka...
3 Reactions
26 Replies
485 Views
Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya...
3 Reactions
22 Replies
615 Views
Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!. Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England...
7 Reactions
2K Replies
171K Views
Tarehe 24 Agosti imeacha alama kubwa katika historia ya soka, kuanzia rekodi za Arsenal, hat-trick ya Thierry Henry hadi mafanikio makubwa ya Bayern Munich. Haya ni baadhi ya matukio muhimu...
1 Reactions
2 Replies
82 Views
Ninasikia kuna Timu moja imemuomba Mganga wao abadili Uchawi wake kwani hawajui nani atafuata kuzikwa Kisutu.
4 Reactions
10 Replies
370 Views
City leo wanakibarua kumkabili bournmouth dimbani leo saa 10.kuliko na wataalamu wametabiri sare maana city wakianza gemu na hii timu ni labda wafungwe ama wasare lakin ushindi hamna.
1 Reactions
4 Replies
76 Views
Rais wa Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA), Aleksander Čeferin, amesema hatagombea urais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA) dhidi ya rais wa sasa, Gianni Infantino, lakini amemtaka Kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Tulia Trust tunatarajia kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwetu kwa kuandaa Tulia Traditional Dance Festival 2026 kwa msımu wa kumi (10), Tamasha kubwa la Ngoma za Asili litafanyika kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Mtanange mkali Leo. Timu pendwa Afrika Mashariki na Kati iliyo namba 9 kwenye viwango vya mpira Afrika na duniani namba 58 SIMBA SC leo itaonyesha burudani ya kufa na shoka ikiwa chini ya...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Back
Top Bottom