Mi ni msanii chipukizi naimba hip hop, Rap
Na pia ni mwandishi mzuri wa mashairi, ya RNB.
Kama utaitaji kunimanage ili tufanye kazi tuwasiliane
Email:Silverjoseph3@gmail.com...
Kwa mujibu wa Takwimu kuna waamuzi & ambao walichezesha Mechi ambazo Yanga walicheza na Timu kadhaa na Matokeo yalikuwa ni yenye Utata.
kwa wanaofaham mpira. hakuna usajili mtu anaoweza ufanya...
Mtandao wa National News wa Kenya umeandika kuwa Yanga ipo kwenye mchakato wa kumsajili mchezaji wa Togo aliyekuwa anachezea Arsenal Emmanuel Adebayor
Eti inasemekana kuna mazungumzo yanaendelea...
Binafsi sina budi kusema ligi ya Uingereza ndio kipimo sahihi cha wachezaji na Makocha duniani ni kama vile mitihani ya Darasa la 4 au form 2 ukiweza kufaulu basi umeingia darasa lingine ukifeli...
*C.Ronaldo in 2016*
[emoji471] UEFA UCL
[emoji471] UEFA Golden boot
[emoji471] UEFA Euro Cup
[emoji471] EURO Cup Silver boot
[emoji471] WORLD SOCCER best player
[emoji471] GOAL world best player...
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, Seerengeti Boys sasa njia yao ni nyeupe kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana (U-17) baada ya mchezaji wa timu ya Congo, Langa Bercy...
Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara amelipa mtihani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuahidi kufanya maamuzi ya kumtolea posa Wema Sepetu endapo ratiba ya ligi kuu...
Staa wa soka anayekipiga wa Barcelona, Neymar ametajwa kuwa mchezaji ni ghali zaidi duniani akiwapita mastaa wengine ambao wanatajwa kuwa wakubwa zaidi yake akiwepo mchezaji mwenzake wa Barcelona...
Usain Bolt atatakiwa kuirudisha moja ya medali zake tisa za Olimpiki baada ya mkimbiaji mwenzake wa Jamaica, Nesta Carter kugundulika alitumia madawa yalivyopiga marufuku.
Carter alikuwa...
Bingwa wa mabingwa wa mbio fupi Mjamaica Usain Bolt atatakiwa kukabidhi moja ya medali zake za dhahabu alizopata Beijing Summer olympic 2008 katika mbio za kupokezana vijiti 4×100 baada ya vipimo...
***Una weza ukawa bora lakin kuna bora zaidi yako
***Ubishi wa nani zaidi kati ya Mesi na Ronaldo hauwezi kuisha kwasababu kila mtu ana matazamo wake,,
Wapo wanao amini Mesi ni bora kuliko Ronaldo...
Mshambuliaji wa ukweli pacha wa Mbwana Samatta pale U-23 aka Julio Boys Thomas Ulimwengu anakaribia kujiunga na vigogo wa Bundesliga kama atafuzu majaribia ya mwisho. Nasikia nafasi yake ni kubwa...
January 25- 22:00
Egypt ? - ? Ghana
22:00
Uganda ? - ? Mali
Tafakuri yangu inanitafakurisha kwamba HILI NALO NI JIPU LA KUKUMBATIA RUSHWA YA KIMTAZAMO NA NI MAWAZO MGANDO TU ambayo baadaye...
Baadhi ya Timu za ligi kuu Tanzania zenye kasumba za kusajili wachezaji toka mataifa ya kigeni zimewahi kusajili wachezaji ambao walishindwa kukidhi viwango na kujikuta wakitupiwa virago mapema...
Ni kipindi ambacho kwa sasa watanzania wengi nyakati za jioni wamekuwa wakitawanyika katika majumba ya starehe ikiwemo baa na vibandani kushuhudia mashindano ya Afcon yanayoendelea pale nchini...
Aliyewahi kuwa Mchezaji Soka Bora wa Dunia mwaka 1995 George Weah kugombea urais wa Liberia kwa mara ya pili katika uchaguzi Oktoba 10, 2017.
Former world footballer of the year, George Weah...
Ukijaribu kuangalia michuano ya kombe la Afrika asilimia kubwa ya Timu za taifa zipo chini ya Mikono ya Wazungu(makocha wa Kigeni),Na chache sana zipo chini ya Wazawa kama vile DRC na Zimbabwe...