Kuna haja ya kuendelea kuamini Makocha wa Kizungu timu zetu Za Taifa??

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Ukijaribu kuangalia michuano ya kombe la Afrika asilimia kubwa ya Timu za taifa zipo chini ya Mikono ya Wazungu(makocha wa Kigeni),Na chache sana zipo chini ya Wazawa kama vile DRC na Zimbabwe.

Zipo zinazofundishwa na Wazungu na tiyari zimeshaaga mashindanoni mfano Gabon,Uganda..nk na pia zipo zilizochini ya makocha wa kizawa nazo tiyari zimeaga.

Je Makocha wa Kigeni wameleta mabadiliko yoyote kwa Soka la kiafrika au tuendelee kuwaamini na kuwawezesha makocha wetu wa kizawa?

Karibuni
 
Back
Top Bottom