Hili la Mechi Kuwekwa Muda Mmoja

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
January 25- 22:00

Egypt ? - ? Ghana

22:00
Uganda ? - ? Mali

Tafakuri yangu inanitafakurisha kwamba HILI NALO NI JIPU LA KUKUMBATIA RUSHWA YA KIMTAZAMO NA NI MAWAZO MGANDO TU ambayo baadaye yanazama na kuonekana ni halali kabisa na litandelea kuwa DONDA NDUGU katika michezo

ati kwamba timu zitapanga matokeo?
 
Wewe unahisi wangefanya nini?,Na ni kwa nini unaona hii sio sababu ya upangaji matokeo?
 
sababu ya kupangwa muda mmoja ilitokana na kombe la dunia mwaka fulani ilipowakutanisha England na German, ambapo England walipata goli dk ya kwanza tu na kwa matokeo hayo ilikuwa tayari Ujerumani na England wamesonga kwenye hatua iliyofuata,
na kuzishusha timu zilizocheza awali.,

kilichooneshwa kuwa matokeo hayo yalipangwa ni:hapakuwa na on taget wala off taget yoyote kwa timu zote, wala mpira wa kurushwa wala faulo hadi dk ya 90. na mara nyingine mchezaji aliweza kutoa pasi kwa mpinzani wake bila kujutia.

hivyo tangu mwaka huo ndipo ikawekwa sheria hii ya mechi zinazoamua timu kusonga au kubaki zichezwe muda mmoja.

hii niliisikiliza azamtv katika moja ya makala zao za michezo.
 
WABEJA SANA
 
Back
Top Bottom