Gerald Steven. Hakuacha pengo kwani umri ulisha muacha. Tulizoea enzi zake zile bullets busters.
Tulimzoea katika kuhamasisha timu uwanjani na wale wachezsji wa 12.
Hendo hana uwezo wa kuhamasisha timu. hapeleki timu mbele kama ilivyokuwa kwa SG.
Jana kashuhudia timu yake ilivyopwaya. Macho yaliongea kitu.
Ngoja Manne aludi toka afcon.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.