Yanga yasingiziwa kutaka kumsajili Emanuel Abdebayor

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,073
114,573
Mtandao wa National News wa Kenya umeandika kuwa Yanga ipo kwenye mchakato wa kumsajili mchezaji wa Togo aliyekuwa anachezea Arsenal Emmanuel Adebayor

Eti inasemekana kuna mazungumzo yanaendelea baina na wakala na Yanga ili Adebayor aje kuchezea Yanga
 
Hahaaaaaaaa Hawa wakenya hawakawii kusema Yanga fc ipo KENYA... Sijawahi kuwaamini hata kidogo
 
Yanga ni ya Kimataifa na ina hadhi ya kimataifa pia,kwa hiyo lazima isingiziwe kuwa inataka kusajili wachezaji wa kimataifa kama Adebayor. Sio kama wale jirani zetu Wamatopeni Fc wao wanahadhi ya Mchangani kwa hiyo Wachezaji wao ni kutoka Charambe,Vingunguti na Kiburugwa.
Acha madharau wewe,hao hao walikupiga tano kichuma mboga
 
Yanga buana! .Hivi pesa aliyonayo huyo Ima si zaidi ya Yanga na mali zao zote? Yaani utafikiri mtu yuko kwenye njozi alafu anaamka na kupamia ukuta.
 
Back
Top Bottom