Sielewi kwanini Yanga inasajili kwa gharama na bado inaendelea kujiongezea gharama kwenye mechi

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Kwa mujibu wa Takwimu kuna waamuzi & ambao walichezesha Mechi ambazo Yanga walicheza na Timu kadhaa na Matokeo yalikuwa ni yenye Utata.

kwa wanaofaham mpira. hakuna usajili mtu anaoweza ufanya mzuri sana kama kusajili waamuzi. una gharama yake ingawa huwa si kubwa sana kama kusajili wachezaji wengine. uhakika wa kushinda ikiwa mwamuzi wa mechi hiyo anachezea team yenu ni mkubwa sana.

Yanga imeakuwa ikisemekana kusajili waamuzi au kufanya usajili maalum wa baadhi ya wachezaji wa team pinzani siku hiyo ya mechi. na matokeo yake yamekuwa yakionekana.nachojiuliza why wafanye usajili wa kulipa wachezaji wengine mapesa mengi wakati wangeweza kufanya usajili ule ule wa siku zote wa marefarii na wachezaji wa team pinzani?

Yanga yawatingisha waamuzi 7 wa Malinzi - Soka
 
Komaeni mumchape Lambalamba maana tofautu na hapo baba mwenye j2 akikamata mjengo ndio basi tena na lazima mpigane.
 
Back
Top Bottom