Ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Ronaldo hauwezi kuisha

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
***Una weza ukawa bora lakin kuna bora zaidi yako
***Ubishi wa nani zaidi kati ya Mesi na Ronaldo hauwezi kuisha kwasababu kila mtu ana matazamo wake,,
Wapo wanao amini Mesi ni bora kuliko Ronaldo na wapo wanao amini Ronaldo ni bora kuliko Mesi hiyo yote ni mitazamo ya watu,,,
***Ronaldo,
Apps 830
Assist 189
Goal 573
Game 830
***Mesi,
Apps 673
Assist 222
Goal 538
Game 673
==>Mechi alizo cheza Ronaldo 830 na mechi alizo cheza Mesi 673 ukipiga hesabu ya haraka haraka unagundua Ronaldo amemzidi Mesi mechi 157
==>Magoli yote ya Ronaldo 573 na magoli yote ya Mesi 538 kwa hesabu unagundua Ronaldo anamzidi Mesi goli 35
==>Assist zote za Ronaldo 189 na Assist zote za Mesi 222 kwa hesabu unagundua Ronaldo anazidiwa Assist 33 na Mesi
***Ukiangalia hii takwimu ya wakali hawa wa soka duniani utagundua kitu kama muelewa
***Nawaacha kama nilivyo wakuta
RONALDO_&_MESI
Wakali wa soka kizazi kipya japokuwa kina elekea ukingoni lakini wameitikisa dunia kwa kiasi chao

Good Moning
Good Day
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ila siku zote huwa nawaza hivi..!

Ingekuwaje kama

Ronaldo angekuwa kwenye kikosi cha Argentina.

Na Messi angekuwa kwenye kikosi cha Portugal.
 
Huyo ndiye Messi
K
I
N
G
Mzee wa kuwachakaza timu pinzani

Ukiona mtu anamchukia King ujue alishapitiwa na makali yake
 
Ila siku zote huwa nawaza hivi..!

Ingekuwaje kama

Ronaldo angekuwa kwenye kikosi cha Argentina.

Na Messi angekuwa kwenye kikosi cha Portugal.
Mkuu nami huwa nawaza ingekuwa King yupo Portugal hakika angekuwa na goli 400 maana kuna timu kama Georgia Malta Uzbekistan n.k

Ila kama Penado angekuwa America kwenye timu kama Brazil Uruguay Mexico Chile hakika asingefikisha hata goli 15
 
Back
Top Bottom