Acha wivu wa kike Mkuu!Arsenal wamebebwa dakika za mwisho. Kwa staili hii Arsenal hawezi beba ubingwa.
Namba 6 mna matatizo Sana.Arsenal wamebebwa dakika za mwisho. Kwa staili hii Arsenal hawezi beba ubingwa.
Contradiction??! Wamebebwa ila hawatachukua ubingwa! NincompoopArsenal wamebebwa dakika za mwisho. Kwa staili hii Arsenal hawezi beba ubingwa.
Imeshikilia namba sita sijui miezi mingapi mpaka nimesahau.Kuna timu kama beacon ya nyumba......haisogei bila kujali matokeo
Wala hajarekebisha bali hii ya Arsenal ni halali ile ya Burnley uongo mtupu wao ndio walitaka kubebwahajabebwa mtu ni refa tu karekebisha makosa aliyoyafanya................................."
Ulijuaje Mkuu! hahahah wabongo kwa kulalamika...Aliyeanzisha hii thread atakuwa mwana Man U!