Natafuta management ya kunisimamia kwenye mziki

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,816
Mi ni msanii chipukizi naimba hip hop, Rap
Na pia ni mwandishi mzuri wa mashairi, ya RNB.

Kama utaitaji kunimanage ili tufanye kazi tuwasiliane

Email:Silverjoseph3@gmail.com
Phone no; 0676-245145
0789-141023
insta@Chonda jr.

Natamani kutimiza Ndoto zangu.

Hii ndio kazi yangu ya kwanza kuifanya imetoka 25/1/2017
Kama unapenda kuisikia ingia YOU TUBE Andika
CHONDA JR FT SALMOO my official MOYO Song.

Utaikuta na kuisikiliza unaweza kuleta mrejesho wa maoni yako kwenye thread(Uzi) uuh

Asanteni.

Zero IQ
 
Mm nataka kuku manage ila sins pesa ya kukupeleka studio mama upon tayari ni pm na utakuwa unanilipa
 
Back
Top Bottom