Sergio Ramos has said that the Ballon d'Or winner's team-mates were denied the chance to congratulate him after a thumping victory
Maafisa walimchukua Cristiano Ronaldo na kwenda kumpima madawa ya...
Jaji awahukumu wanaume nane kwenda jela kwa kuandaa mpango wa kufanya mashambulio katika mashindano ya kiangazi ya Olimpiki. Hii inakuwa ni hukumu ya kwanza kutekelezwa chini ya Sheria ya...
Man United usiku wa May 4 walikuwa katika uwanja wa Bailados nchini Hispania kucheza mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali ya pili ya michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2016/2017 dhidi ya...
London, Uingereza: Bondia kijana Anthony Joshua amemsambaratisha mkonngwe
Wladimir Klitschko katika pambao la uzito wa juu lililofanyika katika uwanja wa Wembley.
==========
To use his own...
Kna watu walianza soka sawa na kina Buffon ila hadi Leo wanajulikana wna miaka25,kweli??
Unakuta kimtu kimokamaa kinacheza copa coca cola eti madai watu wa kusini wafupi.
Mibabu imejaa kwenye soka...
Mpira umemalizika muda mfupi uliopita kwa Serengeti boys kuisasambua Cameroon kwa goli 1 kwa bila mechi iliyochezwa jijini Yaunde Cameroon.
Wadau mnaombwa kuendelea kuichangia timu hii ya vijana
Baada ya uwanja utakaopigwa mchezo wa Fainali ya FA kujulikana, wadau wa soka wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya mahala itakapofanyika kwa fainali hizo ambazo zinawakutanisha klabu ya Soka ya...
JE UNAMJUA RONALD KOEMAN.
[emoji117][emoji117]Ronald Koeman ni mzaliwa wa mji wa Zaandam nchini Netherlands alizaliwa Tarehe 21 match 1963. Akiwa moja ya watu waluozaliwa na kipaji chake Mguuni...
ni wazi kuwa Jamali Malinzi baada ya timu yake kutolewa na hata baada ya refa kushindwa kabisa kuiokoa kule msituni sasa kuna dalili za figisu figisu kwa simba isitwae taji hilo... kuna tetesi...
Leo usiku huu saa 3:45 usiku Juventus wanaungana na Real Madrid na Atletico Madrid nusu fainali ya Uefa Champion League kwa kumtoa Barcelona.
Hakuna cha Mess wala Pique.
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amewapongeza Tottenham Hotspurs baada ya kushinda mchezo wao wa derby ya kaskazini mwa London katika Uwanja wa White Hart Lane kwa mabao ushindi wa bao 2-0 na...
Fainali ya FA Cup ichezwe kwenye uwanja wa CCM - KIRUMBA ili wananchi wa Kanda ya Ziwa wapate pia kushuhudia mtanange huo. Mapato yatakayopatikana nina imani kuwa yatazidi mapato ya uwanja wa...
NImekuwa najiuliza ni kitu gani kiliwatuma viongozi wa Yanga kumpumzisha Puljin na kutuwekea kocha mwingine?
Wakati Yanga wakifundishwa na Puljin tuliona vijana wakicheza mpira wa kitaalamu...
Kiungo mkabaji wa azam himid mao anaondoka leo nchini kwenda Denmark kufanya majaribio ya siku 12 katika klabu ya randers fc inayoshiriki ligi kuu nchini humo
Habari waungwana,
Masaa manne yajayo, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka ambapo Mbao FC watawakaribisha watoto wa Jangwani, Yanga Afrika. Mechi hii itaamua nani akakutane na Simba fainali ya...
Stay tune nakuletea taarifa za kombe LA shirikisho kati ya Simba sc vs Azam fc
Uwanja: Dar es salaam
Muda: 10:00
Climate: Wingu na manyunyu ya mvua
Azam TV watarusha Live
Mechi za ligi walio...
Baada ya kutumia karibu majuma matatu hivi tukijadili vituko vya soka letu vinavyochangiwa kwa kiasi kikubwa na usimamizi dhaifu wa soka na ushabiki usio na tija wa wafuasi wa timu hizi kubwa na...
Jina la beki wa kati wa Real Madrid na nahodha wa timu hiyo Sergio Ramos bado linazidi kugonga headlines katika mitandao ya kijamii, Ramos bado amekuwa akijadiliwa na mashabiki wa soka kuhusiana...