Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,681
London, Uingereza: Bondia kijana Anthony Joshua amemsambaratisha mkonngwe
Wladimir Klitschko katika pambao la uzito wa juu lililofanyika katika uwanja wa Wembley.

==========
Joshua.png

To use his own words, Anthony Joshua took another step to greatness in front of 90,000 fans at Wembley.

But how the home support were made to suffer as Wladimir Klitschko threatened to pull of a remarkable upset.

Joshua stopped his 41-year-old rival in a brutal 11th round after a battered Klitschko had twice got to his feet.

Referee David Fields had little choice but to stop the fight as Joshua continued to unload on his opponent in the corner with more than half a minute remaining in the round.

But that does not come close to telling the full story of how Klitschko silenced Wembley by sending the undefeated IBF champion tumbling in the sixth.

Klitschko had been on the canvas himself in the fifth - but mounted an incredible response to seize control of the fight and threaten to resume his place at the summit of heavyweight boxing.

Joshua looked out of energy and out of ideas.

Had he come against a younger Klitschko he may not have been given the chance to gain his second wind.

But the former champion didn’t have the gas to find another gear - and instead let the younger man off the hook.

Joshua was honest enough to admit: “I’m not perfect, but I’m trying. And if you don’t take part, you fail.

“You leave your ego at the door and give respect to your opponent.

“In terms of the boxing hall of fame and arena he’s (Klitschko) a role model and a hero."

=======

upa kule ule mpambano ulioitwa wa karne kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquio ambalo lilitikisa dunia kwa wakati ule tukishuhudia Mayweather akichomoza kwa ushindi wa points yani ushindi wa mezani.


wiki ijayo ule utamu wa boxer unarudi tena duniani na hili ndio pambano la karne, wiki ijayo dunia itakuwa kijiji wakati wanaume wawili wakishuka dimbani kati ya Wladimir Klitschko na Anthony Joshua

mimi karata yangu natupa kwa Wladimir Klitschko ngumi 1 kilo 100 wewe je???

let's get ready to the rumbleeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Klitschko atakalishwa kabla ya round ya6...
Achana na mziki wa Joshua he is the puncher with accuracy speed power na anajua kudefense...
AJ wawape wa kina Ortiz (kingkong) Tyson fury wilder na wengneo waliopo kwny form kwa sasa
 
naona kwa mbali vita ya western and eastern blocks...

UK vs RUSSIA....mrusi atashinda...
 
Hapa joshua lazima ampasue mtu huyu jamaa mi namfuatilia sana ataua mtu let wait and see
 
kwa wale wapenzi wa ndondi, ndonga,masumbwi. leo ni siku iliyosubiriwa sana kwa pambano la
Joshua vs. Klitschko . Anthony Joshua muingereza ambaye mpaka sasa heshapigana mapambano 18 kashinda yote kwa KO. anapambana na mbabe mwingine toka ukrania Wladimir Wladimirowitsch Klitschko ambaye amepigana mapambano 68, ameshinda 53 kwa KO na kupoteza 4 mengine akishinda kwa point. pambano litakuwa kali sana.

SKY SPORT BOX OFFICE WATAONESHA PAMBANO MIDA YA SAA TANO AU SITA KASORO KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI.

DSTV siku hizi wamekuwa wakishindwa kuonesha Mapambano haya ya Masumbwi. Kwa watumiaji wa Azam sijui kama kuna channel itaonesha Pambano hilo lililosubiriwa kwa Hamu sana.


Anthony-Joshua-v-Wladimir-Klitschko-Weigh-In-Wembley-Arena.jpg

NATAFUTA LIVE STREAM NIWEKE HAPA
674401370.0.jpg

What would a loss mean for Anthony Joshua?


Sky Sport Box Office Wataonesha Kama una Smart phone Download Mobdro kuna channels nying huko

Records za ANTHONY JOSHUA
bouts 18
rounds 44
KOs 100%
birth name: Anthony Oluwafemi Olaseni Joshua
alias: AJ
born: 1989-10-15 / age 27
debut : 2013-10-05
division : heavyweight
stance : orthodox
height : 6′ 6″ / 198cm
reach :82″ / 208cm
residence
Watford, Hertfordshire, United Kingdom
birth place
Watford, Hertfordshire, Unit


Records za WLADMIK KLITSCHKO
role Boxer
bouts 68
rounds 358
KOs 78%
titles held : International Boxing Organization World Heavyweight
WBA Super World Heavyweight
IBF World Heavyweight
WBO World Heavyweight
birth name Volodymyr Volodymyrovych Klychko
alias : Dr Steelhammer
born : 1976-03-25
debut : 1996-11-16
division : heavyweight
stance: orthodox
height : 6′ 6″ / 198cm
reach :81″ / 206cm
residence
Kiev, Ukraine
birth place
Zhangiztobe, Kazakhstan
 
kwa wale wapenzi wa ndondi, ndonga,masumbwi. leo ni siku iliyosubiriwa sana kwa pambano la
Joshua vs. Klitschko . Anthony Joshua muingereza ambaye mpaka sasa heshapigana mapambano 18 kashinda yote kwa KO. anapambana na mbabe mwingine toka ukrania Wladimir Wladimirowitsch Klitschko ambaye amepigana mapambano 68, ameshinda 53 kwa KO na kupoteza 4 mengine akishinda kwa point. pambano litakuwa kali sana.

NATAFUTA LIVE STREAM NIWEKE HAPA
Muda itakuwa saa ngap mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom