Maandalizi AFCON U17 : Serengeti boys waichapa Cameroon

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Mpira umemalizika muda mfupi uliopita kwa Serengeti boys kuisasambua Cameroon kwa goli 1 kwa bila mechi iliyochezwa jijini Yaunde Cameroon.

1504571756991887992.jpg


Wadau mnaombwa kuendelea kuichangia timu hii ya vijana
 
d03ba45ae736b18372c0472e3a01662b.jpg

Bao la dakika ya 37 limetosha kuipa ushindi Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania (serengeti boys) dhidi ya Cameroun usiku huu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kazi nzuri sana. Hongera nyingi sana ziwafikie. Ila wajue kwamba safari ndiyo kwanza imeanza. Waongeze bidii zaidi na zaidi
 
Vizuri Sana,watutoe kimasomaso waBongo. Naomba design za kina manara na muro zisipate nafasi katika kikosi hicho. Mungu bariki Serengeti boys,Mungu ibariki Tanzania
 
Baada ya miaka minne ulizia vijana wetu hao watakuwa wapi alafu pia ulizia vijana wa Cameron nao watakuwa wapi?



upo sahihi mkuu kuwaendeleza hawa madogo ni kazi kweli....coz mchezajia analelewa kwenye timu sasa timu zetu za kuwalea hawa madogo ndo simba,ndanda,yanga.......
 
Nawapa hongera vijana wetu kwa ushindi.
Nawatonya watanzania kuwa ni Cameroon ndio wameporomoka, na sio kwamba sisi tumepanda.
Mwenye masikio amenisikia.
 
Back
Top Bottom