Eeh, maburuda tupo. Lakini pale camp nou sidhani kama tutabaki salama. Tukibaki lazima tulale na viatu.
FT Barcelona 5-1 Juventus
Baselona ameaga mkuu!! Juve si psgUmekubali mapema au umeaga mapema?
Kwa hakika imekua hivyo. Huwez kuruhusu goli 3 bila utegemee miujiza. Hiyo haipo,waliwaotea hao hao PSGLeo usiku huu saa 3:45 usiku Juventus wanaungana na Real Madrid na Atletico Madrid nusu fainali ya Uefa Champion League kwa kumtoa Barcelona.
Hakuna cha Mess wala Pique.
Hakika nimempenda, ukileta ujuaji ni njano tuuReferee ni mzuri sana leo
Hajatoa njano nyingi ila amemudu mchezo ingawaje barca walitaka kumtoa mchezo kwa kumsukuma,kumsema,kumwamrisha atoe kadi na alipotoa onyo Kali kwa wachezaji kama wawili hivi wa Barca wengine wakaona mmmh hapa ukifanya mchezo unawezalimwa red mapemaHakika nimempenda, ukileta ujuaji ni njano tuu
Now you speak...Hajatoa njano nyingi ila amemudu mchezo ingawaje barca walitaka kumtoa mchezo kwa kumsukuma,kumsema,kumwamrisha atoe kadi na alipotoa onyo Kali kwa wachezaji kama wawili hivi wa Barca wengine wakaona mmmh hapa ukifanya mchezo unawezalimwa red mapema