Habari waungwana,
Masaa manne yajayo, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka ambapo Mbao FC watawakaribisha watoto wa Jangwani, Yanga Afrika. Mechi hii itaamua nani akakutane na Simba fainali ya kombe la Shirikisho.
Yanga akishinda Leo itamuhakikishia Simba kushiriki michuano ya kimataifa hata kama asipichokua ligi na akafungwa fainali lakini Mbao akishinda itambidi awe macho kwani pata potea zinaweza kutokea kote kote, ikumbukwe Mbao pamoja na kufungwa na Simba karibuni, haikuwa mechi rahisi.
Tuwe sote pamoja mishale ya saa 10 kujuzana burudani hii ya aina yake.
======
FULL TIME: Mbao FC 1-0 Yanga
Dk 42, krosi maridadi ya Kessy, lakini Tambwe anapiga na kutoa nje, goal kick
Dk 39 sasa, hakuna shambulizi jingine na zaidi mpira unachezwa katikati ya uwanja pekee
Dk 34, MSuva anaachia shuti kali lakini anapaisha juuuu
Dk 32 Mbao FC wanaonekana tena kurejea na kumiliki zaidi mpira katikati ya uwanja
Dk 29, Chirwa anainga vizuri lakini Maganga yuko makini, anaondosha
GOOOOOOOO Dk 27, krosi safi kutoka magharibi mwa uwanja uwanja, Vicent Andrew Dante anajifunga
Dk 23 Kamusoko anaachia mkwaju mkali kabisa hapa, lakini kipa wa Mbao FC yuko makini, anadaka
Dk 23 sasa, Mbao FC ndiyo wanaonekana kuutawala mchezo kwa kiasi kikubwa huku Yanga wakilazimika kuokoa muda wote
Dk 18, shuti kali la Maganga lakini mpira unapita juu ya lango
14' sasa, bado mpira zaidi unachezwa katikati ya uwanja na hakuna mashambulizi makubwa.
08'Mbao FC wanapata kona hapa, inachongwa, Kessy anaokoa na kuwa kona nyingine...inachongwa goal kick.
06' Yanga wanapata kona ya kwanza hapa, inachongwa hapa lakini goal kick
04' Mpira safi wa krosi Chirwa anaukosa na kuanguka. Yuko chini hadi sasa
01' Mechi imeanza kwa kasi na Yanga ndiyo wanakuwa wa kwanza kufika katika lango la Yanga
Kwa hisani ya Saleh Jembe