CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
ni wazi kuwa Jamali Malinzi baada ya timu yake kutolewa na hata baada ya refa kushindwa kabisa kuiokoa kule msituni sasa kuna dalili za figisu figisu kwa simba isitwae taji hilo... kuna tetesi kuwa
1. Ifanyike kila mbinu mechi isichezwe uwanja wa taifa eti kwa vile Simba itakuwa mwenyeji.. na hivyo mechi ipelekwe uwanja hovyo na nimesikia eti (sokoine) ili kuifanya simba ishindwe maana Mbao wamezoea viwanja vya ndondo.
2. Refa aibebe mbao FC na tetesi zinasema Martin Saanya anaweza kupewa kazi hiyo maana hana aibu... kuna figisu nyingine nyingi sitaziweka wazi kwa sasa...
mimi nawaomba Bakuli FC, tafuteni hela mlipe wachezaji wenu, acheni kufanya figisu kwa mgongo wa TFF, Simba ushindi ni wetu hata mfanyeje.
kwa kuwasaidia tu bakuli Fc, nchini uingereza fainali zote zinachezwa pale Wembely maana ni uwanja wa taifa
-----------updates-------
fainali inafanyika jamhuri Dodoma... hii ni fitina ya wazi kabisa kuwahi kufanyika...