LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,973
- 14,489
NImekuwa najiuliza ni kitu gani kiliwatuma viongozi wa Yanga kumpumzisha Puljin na kutuwekea kocha mwingine?
Wakati Yanga wakifundishwa na Puljin tuliona vijana wakicheza mpira wa kitaalamu. Hivi sasa naona wanabutua tuu hawaelewani na kila mchezaji ana cheza anavyo jua yeye. Hakuna tena work. Yaani wamepoteza mvuto ku wangalia. Na kama uongozi hauta shutuma umrudishie Puljin timu mwaka huu tutaangalia uwanja wa ndege kama wasindikizaji wa abiria.