Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Mambo yanaendelea WanaYanga wrote Bakuli linatembezwa mchangie kuliokoa Jengo kwani linataka kupigwa Mnada.Katibu MKUU wa Yanga amethibitisha.
Tuko kwenye uchumi wa viwanda wao wauze tu hamna shida walaji wengine na walipa madeni wengine kwa maisha yaya haiwezekano toka 1935 hakuna chochote cha kujivunia kilichofanyika zaidi ya waarabu kutudhalilisha kila msimu kwa goli za kumwagaMambo yanaendelea WanaYanga wrote Bakuli linatembezwa mchangie kuliokoa Jengo kwani linataka kupigwa Mnada.Katibu MKUU wa Yanga amethibitisha.
Mkuu umeongea ukwelii mtupu haiwezekani timu inamiaka 80 na ushee bado haiko vizuri kiuchumi wacha jengo liuzwe tuBora liuzwe sisi ni vichwa maji sana, Yanga timu kubwa yenye historia kubwa Afrika hata nje ya soka, leo tuwe ombaomba. Nchi imebinafsisha mashamba makubwa ya mazao ya kibiashara, migodi, viwanda sisi tumeshindwa hata kuwa na daladala mjini, si wehu huu?
Tuache liuzwe, timu ife then izaliwe upya ikiwa na akili timamu za kizazi kipya. Ujinga huu.
Kwahiyo kumbe unataka kusema simba ni timu mbovu kisoka? Hutumia fedha kushinda timu pinzani, Yanga wakatoa zaidi simba chali, Mkuu unawadharilisha wana simba wenzako pasi kujua ujue?Kama waliwapa kagera sugar na Toto African pesa ili wasifungwe na simba,watalipa tu,
Watoto wadogo wakaanzisha kampuni zao leo mabilionea, asante kotoko wanalima kakao, sisi mashamba ya mikonge, kahawa, UDA , TCC na TBL vinabinafsishwa tumekaa tu, hata senti sitoi mimi.Mkuu umeongea ukwelii mtupu haiwezekani timu inamiaka 80 na ushee bado haiko vizuri kiuchumi wacha jengo liuzwe tu