Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Stay tune nakuletea taarifa za kombe LA shirikisho kati ya Simba sc vs Azam fc
Uwanja: Dar es salaam
Muda: 10:00
Climate: Wingu na manyunyu ya mvua
Azam TV watarusha Live

Mechi za ligi walio kutana
28 Jan 17
FT
Simba SC
Azam FC
0
1
17 Sep 16
FT
Azam FC
Simba SC
0
1
01 May 16
FT
Simba SC
Azam FC
0
0

12 Dec 15
FT
Azam FC
Simba SC
2
 
Azam japo wapo pungufu lakini wanatandaza kandanda safi sana
 
Back
Top Bottom