ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Kiungo mkabaji wa azam himid mao anaondoka leo nchini kwenda Denmark kufanya majaribio ya siku 12 katika klabu ya randers fc inayoshiriki ligi kuu nchini humo
Channel ni popote hata ulaya pia aca umaku.hii nchi kama huna Chanel utasota sana hata kama una kipaji ndo maana mabashite wengi wapo kwenye system wanainjoi maisha.