Ombi rasmi kwa TFF

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,519
Fainali ya FA Cup ichezwe kwenye uwanja wa CCM - KIRUMBA ili wananchi wa Kanda ya Ziwa wapate pia kushuhudia mtanange huo. Mapato yatakayopatikana nina imani kuwa yatazidi mapato ya uwanja wa Taifa.

Naomba sana msiwaangushe wapenzi wa mpira wa Kanda ya Ziwa.
 
Inapigwa uwanja neutral, kwahyo taifa ndo mahala pake

Taifa inakuaje neutral wakati timu moja inatokea Dar sehemu ulipo uwanja wa taifa ?

Kama ni hivyo hii ngoma ikapigwe Amahoro stadium nchini Rwanda. "A joke"
 
Fainali ya FA Cup ichezwe kwenye uwanja wa CCM - KIRUMBA ili wananchi wa Kanda ya Ziwa wapate pia kushuhudia mtanange huo. Mapato yatakayopatikana nina imani kuwa yatazidi mapato ya uwanja wa Taifa.

Naomba sana msiwaangushe wapenzi wa mpira wa Kanda ya Ziwa.
Wee ndala, hatufungwagi kirumba na mbao kama yanga! Wapeleke hata olmotonyi, msumeno uko pale pale!
 
Back
Top Bottom